Vijana wawili wanamwaga mzigo airport mida hii

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Katika kuhangaikia maisha aliyosema rais wetu naniii kwa kila mtanzania
vijana wawili wamenyakwa jioni hii wakitoeka oman na oman air wakituhumiwa kubeba madawa ya kulevya
na muda huu wamepelekwa chooni na mmoja wao ameshaanza kutema yale mambo yetu
bwana ametoa
gvt wanatwaa
 
Heeeeheee so mpwa yawezekana pale ndio zimefika usiku wenyewe wanazichukua ...mmh uwezi jua bana hii nchi khe
 
Katika kuhangaikia maisha aliyosema rais wetu naniii kwa kila mtanzania
vijana wawili wamenyakwa jioni hii wakitoeka oman na oman air wakituhumiwa kubeba madawa ya kulevya
na muda huu wamepelekwa chooni na mmoja wao ameshaanza kutema yale mambo yetu
bwana ametoa
gvt wanatwaa

Sikujua kama bado watu wanaenda shamba siku hizi. Miaka ile ya 1990's watu wanaotoka shamba walitesa sana hapa mjini. Haya mkuu wape pole vijana ndo mambo yenyewe hayo ya Get Rich Or Die Tryin'
 
katika kuhangaikia maisha aliyosema rais wetu naniii kwa kila mtanzania
vijana wawili wamenyakwa jioni hii wakitoeka oman na oman air wakituhumiwa kubeba madawa ya kulevya
na muda huu wamepelekwa chooni na mmoja wao ameshaanza kutema yale mambo yetu
bwana ametoa
gvt wanatwaa

hakuna kesi hapo ushahidi hakuna kama tu tutakula wote somebody shout tule wole wooooooooooooooote
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom