Vijana wawili wanahitajika

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Natafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream. Aliyetayari au anamtu anayeweza fanya kazi hii ani PM.

Natanguliza Shukrani
 
Wakike ama wa kiume??? Kuuza dukani ama kutembeza na baiskeli??? Biashara iki mkoa gani???
 
Wakiume itakua vizuri ila hata wakike kama yupo sharp anakaribishwa.
 
Wakiume itakua vizuri ila hata wakike kama yupo sharp anakaribishwa.


Yani ni sheeda. Maelezo haba. Mtu anakutanulia maelezo kwa kukuuliza maswali, eti anajibu swali moja kati ya matatu aliyoulizwa! Haya wasubiri hao vijana wawili, watakuja sasa hivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom