Vijana wawili wa kenya watengeneza tablet yao sisi tanzania umeme wa mgao

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,265
9,668
youarehere.png

Home » Gizmos » Kaboo: Is this the first Kenyan Designed Tablet Computer?[h=2]Kaboo: Is this the first Kenyan Designed Tablet Computer?[/h] Posted In Gizmos - By robertalai On Tuesday, October 4th, 2011 With 7 Comments


I have just been sent some info about a “Kenyan Tablet Computer” and I thought, wow!! So I tried to get more info about the tablet including specs and everything and I am further impressed. So two Kenyans, Kelvin Jayanoris and Nicole Wambere, who are the brains behind Noris Technologies sat together more than one year ago and decided to do a tablet computer. So with the funding of their parents to the tune of Ksh 1.5 Million, the young man and woman have come up with Noris Kaboo tablet computer.
The Kaboo tabled has been designed by Noris technologies in collaboration with some Chinese partners which makes it an Original Design Manufacturer (ODM) tablet. ODM is a company which designs and manufactures a product which is specified and eventually branded by another firm for sale. So Noris specified what they wanted and since they did not have the technical expertise, they involved the Chinese company to give the Technical input.
Specs:

 • CPU: VIA WM8650 (800MHz 300MHz DSP)
 • Operating System: Android 2.2
 • Screen: 7-inch resistive touch screen
 • Storage: 256MB DDR2 RAM and 2GB internal storage
 • 3G : Supports external 3G (USB 3G) Modem
 • Card Reader: Supports High-speed Micro-SD card (maximum: 32GB)
 • Sound: Built-in speaker, Built-in micphone
 • Camera: 0.3M Pixels Web Camera
 • Orientation Sensor Automatic steering display screen
 • Supports Wi-Fi 802.11 b/g
 • Supports adobe flash 10.1
 • High-sensitivity G-sensor embedded
The tablet runs on Android 2.2 (Froyo) though Noris technologies had to modify it since the stock froyo from Google could not come out well on the tablet. The feel will be a bit different. Noris technologies say they have already sold around 440 pieces and they have been doing this through newspaper adverts. One was in the papers last week.
More Pics
Kelvin says that the tablet should be selling for as low as Ksh 12,000 but since they produce low quantity, it has affected the pricing. I must say that it is impressive even if it was an OEM device. The fact that the tablet looks and feels good makes me happy. I have my copy and I am checking it out after which I will write a detailed analysi
 

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,236
530
Vyovyote FF, what matters is whose initiative was it? Wao wamekuja na wazo, wakali-refine kwa namna walivyoweza ila wakawa hawana uwezo wa kufanya prod kwao Kenya katika namna ambayo haitaathiri bei, the answer ikawa ni China. Keeping in mind kwamba hata iPad is developed in USA but made in China -- na sababu is the same: COSTS.

Cheki na hawa wengine wa Congo -- Next « Blog de la future tablette de VMK
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
74,053
74,955
Vyovyote FF, what matters is whose initiative was it? Wao wamekuja na wazo, wakali-refine kwa namna walivyoweza ila wakawa hawana uwezo wa kufanya prod kwao Kenya katika namna ambayo haitaathiri bei, the answer ikawa ni China. Keeping in mind kwamba hata iPad is developed in USA but made in China -- na sababu is the same: COSTS.

Cheki na hawa wengine wa Congo -- Next « Blog de la future tablette de VMK

Wazo lipi jipya hapo?

Walichofanya ni kutengezesha tablet kwa jina lao, kipya ni jina tu hapo? ni nini zaidi?
 

Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
240
Kuna tofauti gani na wafanyabiashara wanaoenda China na kutoa oda ya kutengenezwa Tv zilizoandikwa Simba au mabegi branded with local names?Nice story thou umeingia mkenge kwa 'glorification' ya kusema Kenya watengeneza Tablet.
 

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,704
3,230
Kuna tofauti gani na wafanyabiashara wanaoenda China na kutoa oda ya kutengenezwa Tv zilizoandikwa Simba au mabegi branded with local names?Nice story thou umeingia mkenge kwa 'glorification' ya kusema Kenya watengeneza Tablet.

Mi si mtaalam wa hayo madude, ila usifananishe hayo ya wakenya na biashara za kichina, ila ukija na justifikesheni kama wadau wamedesa ya mtu, hapo nitakuelewa, azawaiz ni gubu, majungu na bifu liso msingi. big up wakina njerii!
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,265
9,668
sasa mkisema ni sawa na kuagza tv china mimi ckubarian na hlo. wao wamepata wazo wakadesign nadhan shape na mambo mengne kwa kuwa hawakuweza produce ndo wakaamua waproduce kwa wachna. sa ebu chukulia mfano wa laptop yako ya dell. procesor imetengenezwa na intel, harddisk utakuta ya estelate, cdrom utakuta imetengenezwa na kampun nyngne na almost everythng imetengenezewa chna. lakin asembling u.s katka kiwanda cha dell, na wao may b later wataweza kuwa na uwezo wa kuwa wanafanya asembling. keep in mind v2 ving 2navyo 2mia na kusifia watu wana initiate bt production inafanyikia chna. hata tshirt nyng 2nazovaa cjui sean john. cjui nin zna kuwa produced china after being initiatd in u.s so wakenya did sumthng walau kutoa oda ya tv yenye jna flan ni tofaut na kukaa chn ukabuni k2 coz that tablet haifanan na galaxy au ipad
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
770
Watu wanapoonda! inaonesha ufahamu ni mdogo kuhusu ubunifu wa electronics na vifaa mbalimbali. Jaribuni kufanya research kidogo bana, siyo kuropoka tu!!!!....Hawa jamaa wana mawazo mazuri! Na wanaoponda hapa ukute hajawahi kufungua hata hiyo desktop anayotumia, la angeshaona na kuelewa mambo yanaendaje. Jaribu kuchunguza computer yako, angalia brand, model imetengezwa wapi, then fungua ndani uchunguze baadhi ya vifaa vimetengenezwa wapi, you will be suprised!
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
770
hata iphone vifaa vyake vyote vinatengenezewa china asembling ndo u.s so haina tofauti na hyo

Ndio Mkuu, Apple huwa wanadesign products zao Marekani; Lakn vinatengenezwa na makampuni Mengine kama Foxcon-CHINA!!!!!
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,374
7,470
Mvinyo ya Dodoma imeenda kuwekwa kwenye chupa Msumbiji na kuandikwa hii mvinyo imetoka Msumbiji ilihali imetoka Dodoma,Wa K ni wajanja sana wanapenda sana misifa hiyo tablet ni Mchina tu,na wachina ni wajanja wameona wakifanya collabo na Wakenya tutaona hii tablet ni yetu na miafrika tutanunu zaidi kulinganisha na tablets za'nje'
 

Codezilla

Member
Sep 11, 2011
54
17
@FaizaFoxy...stop hating...its coz of such tunnel vision thoughts that Africa is still behind...and yes we zuba tu na kuungea..check out what the Kenya Technology industry is doing..www.ihub.co.ke
 

Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
240
Mi si mtaalam wa hayo madude, ila usifananishe hayo ya wakenya na biashara za kichina, ila ukija na justifikesheni kama wadau wamedesa ya mtu, hapo nitakuelewa, azawaiz ni gubu, majungu na bifu liso msingi. big up wakina njerii!
Bifu la nini?Nawafahamu vizuri sana inapokuja issue ya 'Glorification of Kenya'.Article imesema clearly kabisa kwamba walituma specifications,si kwamba wali-designs.Clearly huwezi kusema walidesign au ku-invent.Hii ni hype tu!
 

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,475
4,232
Acheni kutoana mimamcho, habari yenyewe inajieleza vizuri tu au ligha nayo ni tatizo?....
..."So Noris specified what they wanted and since they did not have the technical expertise, they involved the Chinese company to give the Technical input."...

Siku hizi kariakooo zimejaa simu na bidhaa nyingi za kutoka kichina kuanzia nguo mpaka vifaa vya electroniki kwa sababu wachina wanauwezo wa kukutengenezea kitu chochote unachotaka ilimradi uwape specifications. Cha msingi je ndugu zetu wana-patent gani na ngapi kwenye hiki kifaa au wamefanya LEGO...

Kunatofauti kubwa sana kati ya Apple na kampuni hii ya ndugu zetu kwakuwa wao wamesema hawana technical expertise (wao ni wafanya biashara tu) wakati Apple wana-technical expertise isipokuwa wana-outsource manufacturing kwa kampuni za kichina kwa sababu ya cheap labour tu.

Kwa kifupi ni kwamba ni vigumu kukaa mwaka mmoja tu na kufanikiwa kutengeneza product kama iPad wakati hauna technical expertise yeyote. Especially kama wewe ni start-up.

Kampuni kama Apple au Samsung wana Patents nyingi sana kwenye hizo tablet computer zao, kumbuka siku hizi Patents huwa hazipatikani hivihivi mpaka uthibitishe madai yako, ndio maana hayo makampuni yameajiri wafanya kazi wengi (Mostly Engineers) wanaofanya Research and Development (R&D) kampasi zao ni kama vyuo vikuu vya ufundi....
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom