Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia
1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............
1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............