Vijana watamani kwenda Magereza sababu maisha magumu

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,733
7,618
Jana jioni nilipita katika mtaa wa Ungoni kariakoo kundi kubwa la vijana walikuwa wakijadiliana Ugumu wa maisha kuwa kwa sasa ni bora mtu upate zari upelekwe jera utapata chakura wengine wanatamani Mfungo ungeendelea ingeleta nafuu. Serikari ijitahidi kutafta njia sahihi za kumkomboa mwanainchi si kupambana na Upinzani na mengineyo wakati wana inchi hali zao ni mbaya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom