sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,014
- 8,368
Nianze kwa kuwasabai wanajamvi! Habar zenu wandugu! Naomba usicoment huzi huu bila kuitikia SALAMU kwanza.
Baada ya salamu niwaombe niende kwenye HOJA ya jumapili ya leo!
Nina wataka vijana wote mliohitimu VYUO VIKUU Na Mnalalamika hakuna AJIRA mjitokeze kwa wingi kugombea UJUMBE WA NYUMBA KUMI,pamoja na uenyekiti serikali ya mtaa,ili mpate uzoefu wa kuongoza wanachi kwanza.
Nina sababu nyingi sanaa za kuja na hoja hapa!
Kwanza kuna vijana wengi ambao Mh raisi amewateau na kuwapa nafasi kubwa nchini ila hawajawai kuwa hata MONITA Darasani mpk sasahiv tunashuhudia vituko!
Pili kuna vijana wengi mnalia hamna AJIRA kisa hamna uzoezu tafadhali gombeeni ili mpate uzoefu.
Tatu,ongeza unae soma hapa............sio umataka point tu ukalili na ww ungezea hapa.
4.............
5.......
Sent using Jamii Forums mobile app