MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Walimu na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka huu, hebu tupeni ukweli, ni mtihani gani ulikuwa mgumu sana mwaka huu?
Wenda ni kweli maana hata yule jamaa mwenye digrii nne anaringa sana, inaezekana na yeye alisoma masomo magumu kama kiswahili.Walimu na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka huu, hebu tupeni ukweli, ni mtihani gani ulikuwa mgumu sana mwaka huu?
Wenda ni kweli maana hata yule jamaa mwenye digrii nne anaringa sana, inaezekana na yeye alisoma masomo magumu kama kiswahili.
AiseeDogo ,mmoja alisema soma la English na literature ziliwatoa jasho sana kwani wanadai zilikuwa zimekazwa