Vijana wangu waliofanya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu wanasema mtihani wa Kiswahili ulikuwa mgumu sana, ni kweli?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Walimu na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka huu, hebu tupeni ukweli, ni mtihani gani ulikuwa mgumu sana mwaka huu?
 
Dogo ,mmoja alisema soma la English na literature ziliwatoa jasho sana kwani wanadai zilikuwa zimekazwa
 
Dogo ,mmoja alisema soma la English na literature ziliwatoa jasho sana kwani wanadai zilikuwa zimekazwa
 
Back
Top Bottom