Vijana wanazeeka mapema mno

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,704
.
IMG-20190620-WA0093.jpeg
 
Dah! Kumbe kachakaa hivi?? Mh Mrowato akimwona nadhani atakuwa anaitumia picha kii kuwatishia mnaotaka kureta fujo dom. Alaf anathubutu kusema ni lijamaa limoja tu. Kweli vijana hamna adab siku hizi. Mnawapiga hata vijizee ka hivi vi tid?
 
Sikumbuki Mara ya mwisho nimepigana lini.
Kupigana bure ni unyani.
T. I. D ni baba mwenye watoto wakubwa waliopevuka mwili na akili, sijui atajitetea nini kwa wanae.
Mshana Jr, andaa press conference kwa ajili ya Top In Dar, ili apate kukanusha tuhuma hizi.
Video yake imekuwa edited.
 
Back
Top Bottom