Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Aiseeee mm na laptop yangu na bando la kutosha nashinda tu na check movie. Shukran mdauu ulieleta hii habar naomba kujua unajiungaje huko
 
Habari kaka
Inavyoonekana huwez kupata project mpaka ufanye mitihani yao ambayo ni $ 5 ??
Au kuna njia nyingine??
 
Kuna watu wengi wananifuata inbox hadi nashindwakuwajibu maana ni wengi mnaweza jiunga telegram group kwa kufuata hii link litakuwa temprary group after that nitalifuta maana mimi siyo mpenzi wa magroup sijajiung group lolote whatsapp wala telegram
Freelancing
Mkuu kwangu inafeli..any other means?
Screenshot_20180922-104248.jpg
 
Mkuu hongera, kifupi ni wachache sana wanaoijua freelancer, hvyo wengi wataishia kuingia chaka na wengine kutapeliwa kirahisi kwakuwa hawajui ukizingatia sasa hvi fake network marketing zimezagaa sana now days,

So kwakuwa umeamua kusaidia vijana wenzio, ukiwa kama mzoef kwenye hii issue ungewadadavulia kinaga ubaga kuanzia namna ya kujisajili mpk mpka mwisho wa process.ikiwemo

.namna ya kujiunga na vitu ambavyo anatakiwa kuvijaza kuna mmoja( ameombwa email) ili ajue namna ya kuepuka kiweka vitu vitakavyopelekea utapel
 
Back
Top Bottom