BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 779
- 1,267
Life without changamoto is boringChangamoto ni sehemu ya maisha
Life without changamoto is boringChangamoto ni sehemu ya maisha
Unaangalia mazingira uliyopo na fursa zilizopo, Unazifanyia kazi kwanza ili upate mwelekeo wa nini cha kufanya baada ya kuacha kazi.je kwanza ni fursa zipi zipo za kufanya ili zikulipe ili ukiacha kazi usijute?
Rejea hoja ya msingi hapo juu, Kila mahala kuna fursa, Ni jukumu lako kutafuta fursa zilizopo mahala ulipo, Umiza kichwa na utapata.hebu nipeni mifano wa shughuli zipi binafsi za kufanya ili zitulipe?
Mtaji huwa ni jambo la mwisho baada ya kuipata fursa sahihi ya ndoto yako. Ili kujitegemea kiuchumi hakuna kiwango kilicho fixed kwamba ukiwa nacho ndio utakuwa na mafanikio.na mtaji kwa makadirio ni shs ngapi?
Mkuu umewai kufanya biashara? au kuacha kazi na kuwa mtaani?Mtaani kugumu...... Haya ndio Majibu ya walio wengi kwenye ushauri wa kuacha kazi, Kama unataka kuacha acha usiombe ushauri, Nakuomba ufanye kautafiti. Tafuta watu kama kumi ambao wako mtaani na unawaamini, waombe ushauri.
Kama wakitokea wawili wakakubaliana na wazo lako njoo nidai vocha ya 500(joke)
Kimsingi haya maamuzi yanategemea tu utashi wako, Unapokua na Biashara huku bado uko kwenye ajira watumishi huwa wanakupiga sana, mwisho wa siku biashara inakufa na ndoto yako ya kuacha kazi inakufa
Mimi nakushauri anagalia mfuko wako na uwe na uhakika wa biashara ambayo unataka kufanya, Kumbuka challenges hazipo maofisini peke yake hata kwenye biashara pia kuna challenges.
Biashara ambayo unaweza kuanza nayo kama bado hujabuni biashara jaribu kuangalia Mazao, Mazao hayana hasara jaribu ku avoid perishable things kama viazi na mboga mboga.
Mazao kama mahindi yakiharibika utauzia wanaotengeneza byakula vya kuku.
suala kubwa ni mfuko wako na utayari wako wa kuishi kigumu.
Una burning desire ya kutoka mwana. Kikubwa sana ni uvivu wa kusoma ambao watu wengi wanao. Vitabu vina siri kubwa sana.Great, nilishaacha kazi ya Ualimu mara mbili, nikarudi kwa kazi nyingine ila pia roho yangu inaniambia kuwa ni Lazima niache kazi ili niwe na kitu ambacho ni lasting.... kazi zina muda, kazi za watu zinazeesha, zinaleta magonjwa ya stress na kukuminya sana kufikiria nje ya box. Nashukuru kwamba nakarinia kuvuka daraja hili, sitarudi nyuma this time MUNGU anisaidie. Kuna kitabu nakisoma kipo kwenye Playstore kinaitwa THINK AND GROW RICH aaaghhhh kinanitia nguvu sana, I encourage you guys mkisome pia.
Hivi vitabu vipo vingi na vya bure
Lazima tubadilike, lazima tubadilishe our Life style, inawezakana lakini ni lazima tujikane kwanza, lazima tujishushe, lazima tuwe commited.
Thank you
Mkuu umewai kufanya biashara? au kuacha kazi na kuwa mtaani?
Ukweli ni kwamba kuacha kazi na kwenda mtaani 90% ni jinsi utakavyo control hisia zako na zawatu around (emotional). 10% ndio failure or success.
Mimi niliacha kazi yenye kipato cha juu sana. Niliamua tuu kwamba ikifika september naacha, nikaandika resignation letter nikawapa one week, sikutaka discussion. Nikaacha, nyumba ilukuwa bado kuisha na familia nzima wakasema huyu anaitaji mganga amtibu. Nilichokuwa nacho ni courage, ukiwa na courage (utashi) hata dunia nzima iende mashariki wewe peke yako uende magharib hautajutia.
La muhimu ni ujipange, andika chini kwamba unataka kufanya nini na mauzo ya kiasi gani kwa mwezi yatakufanya upate utulivu, yaweke yale mauzo kwa siku kisha anza mapambano.
You can do it.
Kama hayo ndio mawazo yenu lazima kitaa kiwashike .....! Huwez kufanikiwa katika maisha kwa kukusanya data kutoka kwa watu walioshindwa.Kwa nn usitumie ..... "your own experience in lfe....?"ukikalia kusikiliza wanaosema hawawez na ww hutaweza.....!Mtaani kugumu...... Haya ndio Majibu ya walio wengi kwenye ushauri wa kuacha kazi, Kama unataka kuacha acha usiombe ushauri, Nakuomba ufanye kautafiti. Tafuta watu kama kumi ambao wako mtaani na unawaamini, waombe ushauri.
Kama wakitokea wawili wakakubaliana na wazo lako njoo nidai vocha ya 500(joke)
Kimsingi haya maamuzi yanategemea tu utashi wako, Unapokua na Biashara huku bado uko kwenye ajira watumishi huwa wanakupiga sana, mwisho wa siku biashara inakufa na ndoto yako ya kuacha kazi inakufa
Mimi nakushauri anagalia mfuko wako na uwe na uhakika wa biashara ambayo unataka kufanya, Kumbuka challenges hazipo maofisini peke yake hata kwenye biashara pia kuna challenges.
Biashara ambayo unaweza kuanza nayo kama bado hujabuni biashara jaribu kuangalia Mazao, Mazao hayana hasara jaribu ku avoid perishable things kama viazi na mboga mboga.
Mazao kama mahindi yakiharibika utauzia wanaotengeneza byakula vya kuku.
suala kubwa ni mfuko wako na utayari wako wa kuishi kigumu.
Angalia mahali ulipo/kwenye jamii yako HAKUNA NINI, KUNA TATIZO GANI, kisha kilete hicho kitu kwenye hiyo jamii. Au tatua hilo tatizo kwenye jamii yako.Unaangalia mazingira uliyopo na fursa zilizopo, Unazifanyia kazi kwanza ili upate mwelekeo wa nini cha kufanya baada ya kuacha kazi.
Rejea hoja ya msingi hapo juu, Kila mahala kuna fursa, Ni jukumu lako kutafuta fursa zilizopo mahala ulipo, Umiza kichwa na utapata.
Mtaji huwa ni jambo la mwisho baada ya kuipata fursa sahihi ya ndoto yako. Ili kujitegemea kiuchumi hakuna kiwango kilicho fixed kwamba ukiwa nacho ndio utakuwa na mafanikio.
Wapo wajasiliamali walionza na mitaji ya 300,000 na wakapata mafanikio, na wengine walianza na mitaji 10,000,000 au zaidi, na wakashindwa kupata mafanikio. hii inategemea ni fursa ipi unataka kuifanyia kazi na skills ulizonazo katika fursa husika.
Na tafiti zinaonyesha wenye mafanikio makubwa ni wale walio anzia chini na kukabiiana na changamoto nyingi katika kufursa walizo zichagua kuzifanyia kazi.
Kila lakheri mkuu.
Hahaha Naysayers, umenikumbusha Kiyosaki anawaita Cynics (ikiwepo na sauti ndani yako). Cynics will always tell u, the sky is falling.... It's just NOISESKuna mambo makubwa kama mawili au matatu lazima uyafanye.
1. Jiandae kifikra kabla hujaachaa (mental preparation), hichi kitu muhimu sana na kinaweza chukua muda sana. Sababu kwenye kitu chochote psychology inachukua nafasi kubwa sana. Muhimu hapa ni kwamba hakikisha unafikiria positive side na unakaa mbali na negative thinking, sisemi uwe naive maana kuna tofauti kubwa ya kufikiria positive na kuwa naive. Andaa kichwa chako kupambana na "naysayers" wazee wa kukwambia utashindwa, huwezi kufanikiwa, utajuta, utasaga na ndala. Hawa lazima ujue jinsi ya kufanya fikra zao zisiingilie fikra zako, lakini kujiandaa kifikra ni pamoja na kuandaa kuishinda sauti ya ndani (inner voice) ambayo inakuongelesha kwa ndani kukwambia unajua mkuu ukichemka hapa familia yote choka, au at least wewe unapata 700,000 kwa mwezi, wenzio wanapata 0. Hii ikatae kabisa, kwa kujiandaa kifikra. Sikiliza sana motivational speakers kwenye youtube kama kina Les Brown, Napoleon kwa Tanzania kina Erik Shigongo, Mr Mauki na wengine.
2. Andaa Plan nzima ya mchezo kwenye karatasi. Najua watu wengi wanasema nisha plan, kila kitu na plan yenyewe kwa bahati mbaya ipo kichwani. Hawa wanajindanganya tuu. Plan lazima iwe kwenye karatasi, iweke uione na ujinasabishe nayo. Isome mara kwa mara rekebisha sehemu zinazo stahiki. Ibandike kwenye kuta za chumba chako, isome na ujirecord kisha isikilize over and over ukiifanyia maboresho. Mfano, unataka kufungua supermarket ndogo plan lazima iseme wapi, ukubwa wa duka, mtaji, njia yako ya kufanya marketing na kupata masoko. Plan ndio ushindi, mechi haishindwi uwanjani mechi yoyote inashindwa kwenye plan. Kama Plan zako ni weak, jiandae kuondolewa kwenye reli.
3. Test plan yako hapo juu kwa kufanya uchunguzi.Hii ni pilot process, unaweza kutembelea wenye hiyo biashara ukaangalia na kujifunza, unaweza kuanza kidogo. Hapa nafasi ni kubwa inategemea wewe unataka kutest vipi plan yako.
4. Never have Plan B. Usisubutu kuwa na Plan B, sababu plan B inaairibia Plan A tuu hakuna jingine. Ukipigana na mlango wazi ni tofauti sana kupigana mlango ukiwa umefungwa.
5. Never regret ukijaribu. Mimi nilipakiza watoto na familia kwenye ndege kurudi Tanzania baada ya miaka 15 ughaibuni na nilikuwa na maisha standard kabisa. Kikubwa nilichoshinda ni kwamba niliapa kuto kujilaumu kwa maamuzi niliyofanya. Life is too short kutojaribu roho nini inataka.
I support yoyote anaetaka kuacha kazi sababu hao ndio wajenga ajira za wengine wengi ambao mungu ajawapa utashi wa kujiamini na kufanya maamuzi magumu.
Salutededication kwenu;
retire young, retire rich by R.Kiyosaki...
ni miongoni mwa maamuzi magumu ambayo ni sahihi.
ni kosa kuacha kazi ujiajiri akilini mwako ukiwa na wazo mambo yakigoma nitarudi kuajiliwa.
unaweza kuja kuaibika. Hiyo mission ni kama movie ya The Hardway The only way, makomando wanatua na ndege iliyowaleta inalipuliwa kuwadhihirishia hawana option zaidi ya kushinda pambano msituni maana hakuna usafiri wa kuwarudisha.
ukifanya maamuzi hayo mapema, utapata faida ya Muda mrefu ila lazima upitie bonde la uvuli wa mauti ili kukuandaa kukabiliana na kupata na kukosa maishani. bonde hilo huwarudisha wengi kwenye ajira wakiogopa gharama ya kujiajiri.
Kama hayo ndio mawazo yenu lazima kitaa kiwashike .....! Huwez kufanikiwa katika maisha kwa kukusanya data kutoka kwa watu walioshindwa.Kwa nn usitumie ..... "your own experience in lfe....?"ukikalia kusikiliza wanaosema hawawez na ww hutaweza.....!
Daah safi sana mkuuMtaani kugumu...... Haya ndio Majibu ya walio wengi kwenye ushauri wa kuacha kazi, Kama unataka kuacha acha usiombe ushauri, Nakuomba ufanye kautafiti. Tafuta watu kama kumi ambao wako mtaani na unawaamini, waombe ushauri.
Kama wakitokea wawili wakakubaliana na wazo lako njoo nidai vocha ya 500(joke)
Kimsingi haya maamuzi yanategemea tu utashi wako, Unapokua na Biashara huku bado uko kwenye ajira watumishi huwa wanakupiga sana, mwisho wa siku biashara inakufa na ndoto yako ya kuacha kazi inakufa
Mimi nakushauri anagalia mfuko wako na uwe na uhakika wa biashara ambayo unataka kufanya, Kumbuka challenges hazipo maofisini peke yake hata kwenye biashara pia kuna challenges.
Biashara ambayo unaweza kuanza nayo kama bado hujabuni biashara jaribu kuangalia Mazao, Mazao hayana hasara jaribu ku avoid perishable things kama viazi na mboga mboga.
Mazao kama mahindi yakiharibika utauzia wanaotengeneza byakula vya kuku.
suala kubwa ni mfuko wako na utayari wako wa kuishi kigumu.
Huwezi kutumikia mabwana wawili...mark this!kweli nimeelewa somo! tunahitaji kuthubutu! Hata kama ni kuajiliwa, tutafuta kazi ambayo haitatunyima uhuru wa kufanya uwekezaji wetu wa pembeni! Ninashukuru kwa ushauri wako.
kwa usawa wa maisha unaweza. Ukitoka kazini saa tisa, unaingia shambani, unalima, unakagua mifugo n.kHuwezi kutumikia mabwana wawili...mark this!