Uchaguzi 2020 Vijana wanaosadikiwa kuwa ni wa CCM kurusha mawe kwenye msafara wa Lissu ni njama ya kuwafanya CHADEMA wajibu mashambulizi ili waonekane wanavurugu?

Ni dhahiri maccm ndio mamtu magomvi nchi hii.Ata mimi niliona jana mapema Geita mjini pale kwenye ofisi za ccm wamama waliojichokea wakiwa na vijana wasiojielewa wakiwa wamejipanga na mapicha mengi ya Jpm ili kumuonyesha lissu atakapopita sasa unajiuliza ni ujinga au ushamba.

Wengine unakuta ata mia mbovu mfukoni hana.Sasa kama walifikia hatua yakurusha mawe hiyo maana yake ccm wameshindwa siasa za ushindani sasa wanataka za mabavu,na iko siku watazipata.Hao polisi wanaojivunia hadi waje wafike kuwakomboa historia itakua nyingine.

Majitu yanashindwa kua mastaarabu katika vitu vidogo kama hivi vyakuheshimiana kwatofauti zetu zakisiasa,dini na kabila wataweza nini tena hawa.
 
Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo nilidhani ni propaganda tu za wana CHADEMA

Jana akiwa Geita Mjini hali hiyo mbaya ya kutupa mawe imejitokeza tena akiwa barabarani karibu na ofisi ya CCM akielekea kwenye mkutano wake .

Je, iwapo wana CHADEMA wangeamua kujibu mashambulizi ya kuwapiga vijana wa CCM kusingetokea madhara? Kwani CHADEMA walikuwa wengi kuliko hao vijana wa CCM.

Je, huu ni mpango wa kutaka kuharibu kampeni za Tundu Lissu ili ionekane kuwa CHADEMA ni watu wa fujo na vurugu?

Tunaomba viongozi wa CCM mkemee tabia hii ili kuepuka maafa.

Naomba kuwasilisha.
Je msajili kakaa kimya? CCM wakifanya vurugu msajili wa vyama haishiwi pamba za kuzibia masikio
 
Muuze mara mbili.Toka uhuru mnafuja nchi kwakuingia mikataba mibovu gizani kuhusu rasilimali za hii nchi saa hizi unajifanya eti kuuza nchi.Kwa kipi kilichobaki hadi iuzwe wakati kila kitu mlishauza kwamabeberu hadi vimeisha.acha kudanganya watu wewe.Wote sio wajinga kama wewe.
Tutawagalagaza na kiki zenu za kutengenezewa na hao mabeberu, halafu mnajifanya eti mnamiujiza iliwatanzania tushobokeee MIUJIZA ya mtu anayetaka kuuza taifa letu. Tutawagalagaza hapo October, hadi mtueleze igizo lile mlilitengenezewaa na naniii
 
Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo nilidhani ni propaganda tu za wana CHADEMA

Jana akiwa Geita Mjini hali hiyo mbaya ya kutupa mawe imejitokeza tena akiwa barabarani karibu na ofisi ya CCM akielekea kwenye mkutano wake .

Je, iwapo wana CHADEMA wangeamua kujibu mashambulizi ya kuwapiga vijana wa CCM kusingetokea madhara? Kwani CHADEMA walikuwa wengi kuliko hao vijana wa CCM.

Je, huu ni mpango wa kutaka kuharibu kampeni za Tundu Lissu ili ionekane kuwa CHADEMA ni watu wa fujo na vurugu?

Tunaomba viongozi wa CCM mkemee tabia hii ili kuepuka maafa.

Naomba kuwasilisha.

Ungeandika kizungu ili iwe rahisi mabeberu kujua nini kinaendelea
 
Muuze mara mbili.Toka uhuru mnafuja nchi kwakuingia mikataba mibovu gizani kuhusu rasilimali za hii nchi saa hizi unajifanya eti kuuza nchi.Kwa kipi kilichobaki hadi iuzwe wakati kila kitu mlishauza kwamabeberu hadi vimeisha.acha kudanganya watu wewe.Wote sio wajinga kama wewe.
Tulikuwa na Uhuru wa Bendera kwa sasa tunaouhuru wa kiuchumii chini ya jemadariii magufuliii. Mabeberu hawana lao tena kwa taifa la tanzaniaa
 
Watakatifu CHADEMA, vuteni subira mtaenda kutawala kwenye ulimwengu mwingine,sio huu wenye dhambi nyingi,kibaya zaidi zote ni za CCM🚶
 
Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo nilidhani ni propaganda tu za wana CHADEMA

Jana akiwa Geita Mjini hali hiyo mbaya ya kutupa mawe imejitokeza tena akiwa barabarani karibu na ofisi ya CCM akielekea kwenye mkutano wake .

Je, iwapo wana CHADEMA wangeamua kujibu mashambulizi ya kuwapiga vijana wa CCM kusingetokea madhara? Kwani CHADEMA walikuwa wengi kuliko hao vijana wa CCM.

Je, huu ni mpango wa kutaka kuharibu kampeni za Tundu Lissu ili ionekane kuwa CHADEMA ni watu wa fujo na vurugu?

Tunaomba viongozi wa CCM mkemee tabia hii ili kuepuka maafa.

Naomba kuwasilisha.

Mbona sio mara ya kwanza, Moshi almanusura wavunje huo mdomo maaana walikula mawe ya kutosha! na mbna ni wananchi wa kawaida sana
 
[SUP]CCM miaka yote huwa ndiyo chanzo kukuu cha vurugu. [/SUP]
 
"Tunaomba viongozi wa CCM mkemee tabia hii ili kuepuka maafa".

Hapa itakuwa uwongo kabisa, hawawezi kuwakemea wakati wao ndio waliowatuma!
 
Ni kama hawa waliopewa elfu mbili mbil

Hii sio nzuri ikimtokea pia mgombea wa ccm msijelalamika maana kampeni bado zinaendelea, Mambo ya kizamani Sana ,mtu anaweza kwenda kwenye mkutano lakini bado anajambo lake moyoni ,kubeba mabango ambayo hatokani na hisia yako toka moyoni ,ni kupungukiwa mahalifa
 
Njombe mlimwua Mwana CCM sikuona comments kama hizi. Uchungu huwa ni kwa nguruwe tu.
Hao wa huko Njombe wameuawa na vijana wao ili waichafue @chademe.
Tuweke hapa orodha ya walio uliwa na CCM na hamna muuaji amekamatwa Wala polisi kuchunguza?
 
Attachments

  • IMG-20160120-WA0002.jpg
    IMG-20160120-WA0002.jpg
    37 KB · Views: 1
Ililipotiwa huko Kagera kuwa msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kupigwa mawe pale alipokuwa akipita mbele ya Jengo la CCM akielekea uwanjani kwenye mkutano , mwanzo nilidhani ni propaganda tu za wana CHADEMA

Jana akiwa Geita Mjini hali hiyo mbaya ya kutupa mawe imejitokeza tena akiwa barabarani karibu na ofisi ya CCM akielekea kwenye mkutano wake .

Je, iwapo wana CHADEMA wangeamua kujibu mashambulizi ya kuwapiga vijana wa CCM kusingetokea madhara? Kwani CHADEMA walikuwa wengi kuliko hao vijana wa CCM.

Je, huu ni mpango wa kutaka kuharibu kampeni za Tundu Lissu ili ionekane kuwa CHADEMA ni watu wa fujo na vurugu?

Tunaomba viongozi wa CCM mkemee tabia hii ili kuepuka maafa.

Naomba kuwasilisha.
Ccm wamechokwa kila mahali
 
Shirika la Kimataifa la Utafiti wa masuala ya Siasa kutoka China limepinga vikali ripoti ya Amnesty International kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania na kudai ni ripoti iliyoegemea upande mmoja. Shirika hilo limehoji taratibu na vigezo vilivyotumiwa na Amnesty kuhoji makundi hayo ya watu na taasisi walizotaja kwenye utafiti wao. Shirika hilo limeenda mbali zaidi na kudai kuwa japo Amnesty wanajitanabaisha kama taaisisi inayotetea haki, hawaoni haki iliyotumika hapo kwenye utafutaji wa maoni.

Shirika hilo limeshangazwa na Amnesty kudai kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji, ukamataji na unyanyasaji wa wapinzani kipindi cha kampeni ambapo imeonyesha kuegemea upande mmoja wakati wapo wanachama na wafuasi wa CCM waliouawa na kuumizwa na wapinzani.

Shirika hilo limesema utafiti wa Amnesty ni upotoshaji wa wazi kabisa wenye lengo la kuitumbukiza nchi ya Tanzania katika matatizo makubwa. Ni wazi kuwa taasisi ya Amnesty inafanya haya kwa maslahi fulani. Amnesty imelalamika kuhusiana na Vyombo vya Habari kufungiwa huku ikisahau Tanzania ni nchi huru na ina sheria na taratibu zake kwa watu au taasisi zinazokiuka sheria za nchi.

Kwa mwenye akili timamu lazima ashangae haya yanayoendelea kutoka kwa Taasisi inayojiita inatetea Haki na Demokrasia kwa wote bila ubaguzi ya Amnesty International.

Baada ya uchaguzi wa 2015 na John Pombe Magufuli kushinda Urais alianza kazi kwa kishindo na kufanya mengi makubwa ambayo hayakutegemewa katika Ulimwengu ya karne ya 21. Utendaji wa Magufuli uliibua makundi, kwa upande mmoja wakisifia kupatikana Kiongozi bora na imara asiyeyumbishwa anayeweza kuikomboa Afrika tena toka mikononi mwa wakoloni mamboleo na kwa upande wa wezi wa rasilimali za Watanzania ukiacha maumivu makali.

Makundi yenye maumivu yameamua kujitokeza hadharani kupambana na Magufuli yakitumia watu na vyombo mbambali vya habari, wanaharakati, taasisi zisizo za kiserikali, wanasheria na wanasiasa kumkwamisha na kumchafua Magufuli.

Mataifa hayo sasa yameamua kutumia uchaguzi huu kuhakikisha Magufuli harudi madarakani kwani amekwamisha mambo yao mengi na yanatumia watanzania wenzetu kuihujumu nchi yetu kwa maslahi binafsi.

Bila aibu Amnesty International imediriki kutoa makala ya kumshambulia Magufuli wakidai kuwa wapinzani wamekuwa wakionewa. Nasema ni aibu kwani kama Amnesty inasimamia haki kwa wote ilitakiwa kukemea pia mauaji ya vijana na wafuasi wa CCM yaliyofanywa na vijana wa CHADEMA tena ambao wamekiri kufanya matukio hayo.

Amnesty walitakiwa kukemea tukio la wafuasi wa CCM kukatwa mapanga ndani ya Msikiti na mwananchama wa ACT Wazalendo.

Amnesty walitakiwa kukemea suala la vijana wa CCM kushambuliwa maeneo mbalimbali ya mwili na wafuasi wa CHADEMA kama mikoa ya Arusha, Morogoro, Njombe, Mbeya na kadhalika.

Swali fikirishi, ina maana Amnesty wanatetea tu wanachama wa CHADEMA? Hii ni taasisi maalumu kwa ajili ya CHADEMA? Je wana maslahi gani kwa CHADEMA ikiingiia madarakani?

Wakati huu ndio tunaona mashirika ya kipumbavu kabisa kama hili la Amnesty linalojaribu kuleta machafuko nchini kwa kivuli cha kutetea haki. Ni haki gani wanayotetea angali watanzania wameuawa bila hatia au kwa kuwa si wafuasi wa CHADEMA?

Amnesty International wanapaswa kufahamu tu kwamba Watanzania sasa wameamka, John Pombe Magufuli ameamsha watanzania. Hawako tayari tena kuona rasilimali zao zikifaidisha watu wa mataifa mengine na ambao wametukandamiza kwa kipindi kirefu.

Amnesty wanatakiwa wajue kuwa mipango yao na nia ovu waliyonayo inajulikana na haitafanikiwa dhidi ya Tanzania. Mungu aliyetuponya na Covid19 ndiye huyo huyo atakayetuepusha na wabaya wetu. Kamwe Tanzania haitaingia kwenye machafuko kama wanavyopanga na tutaendelea kuwa na amani chini ya John Pombe Magufuli.

*Niwaombe watanzania wenzangu, tuwe makini sana na hizi taasisi, wanasiasa na watanzania wenzetu ambao wamejitoa kutumika kwa maslahi ya mabeberu. Tuwakatae kwa nguvu watatuangamiza.*

*Shime Watanzania, tarehe 28/10/2020 twende tukapige kura kumchagua mzalendo wa kweli JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI kiboko ya mabeberu*

Ungeandika kizungu ili iwe rahisi mabeberu kujua nini kinaendelea
 
Video ya tukio zima iko YouTube. Ni aibu sana. Swala la kujiuliza kwa nini Polisi hawakuondia msafara wa CDM? Au kwa ni j watusha mawe hawakupigwa mabomu ya machozi? Kama warusha mawe wangekuwa na silaha za moto, basi tungekuwa tunaongea habari nyingine muda huu.
 
Back
Top Bottom