Vijana wanaoponda wenzao wanaolalamika maisha magumu, kipi kinawafanya wajiamini?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kwa maisha ninayoyapitia na jinsi ninavyopambana na haya maisha niweze kutoka; kwa jinsi ninavyoumiza kichwa maisha ya kujitegemea yanavyonipeleka kasi alafu nikisikia kijana ananiponda nalalamika maisha magumu huwa najiuliza:

Hivi ujasiri wa kuniponda huwa anautoa wapi akioniona nalalamika maisha magumu?
 
Kulalamika sio solution,kama upo Dsm kaa na watu mbalimbali kuna michongo mingi sema ndo connection unamjua nani,mjini kazi zipo na hela ipo
 
Heshimu watu na usiogope kumwambia mtu tatizo lako hata kama asipokusaidia atakuwa anamjua mtu na huyo mtu anamjua mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom