Vijana wamemaliza mitihani yao ya kidato cha nne. Wazazi ni kazi kwenu kujiandaa kwa ada ya kijana wenu kwa kidato cha tano

BSL

Member
Dec 15, 2018
86
98
Kama nilivyosema, wazazi kwa vile vijana wamemaliza kidato cha nne ni wakati wenu wazazi kujiandaa kwa karo kwa kijana wako atakapochaguliwa kuingia kidato cha tano.
 
Back
Top Bottom