Kijana wa hovyo ni yupoje?Sasa ni 4:22 usiku mzito. Pole mzee kwa kuchapiwa mwanako na vijana wa ovyo.
Yaani imekua kama fashooni kwamba Fulani anaboyfriend au girlfriend acha na Mimi nitafute ili niende na wakatiUmenena sawa kabisa, sema ndo hivyo kila zama na kitabu chake, sasa hivi wengi wanakuwa na mahusiano ambayo hata wenyewe wahusika hawajui yanahusiana na nini!! Ndo maana vibinti vingi vimezalia kwao
Siku hizi wanaangalia misambwanda na rangi Wala siyo tabia na magonjwaNa watu walirudi kijijini kuoa kwa familia inayojulikana kitabia na magonjwa sikuhizi wanakutana mjini na ndoa hazidumu daily tunatafta mchawi, Ile ya kuoana wa kabila Moja mnaojuana kitabia ilisaidia tofauti na hizi intermarriages za sikuhizi
Ndio maana ndoa zinawashinda watu makabila tofauti na malezi then mnakutana eti kuoana lazima ndoa iwashinde tu, marriage ni more than color and misabwandaSiku hizi wanaangalia misambwanda na rangi Wala siyo tabia na magonjwa
Sasa kama vijana wenyewe role model wao ni Rayvanny na Paula unategemea nini?Yaani imekua kama fashooni kwamba Fulani anaboyfriend au girlfriend acha na Mimi nitafute ili niende na wakati
Nategemea dramaSasa kama vijana wenyewe role model wao ni Rayvanny na Paula unategemea nini?