Vijana wacheza kamari wanasumbua eneo la NHC Mburahati, Polisi wanadai kesi hii ni ya Mgambo

Mambo na watu

Member
Jun 18, 2019
77
122
Napenda kutoa dukuduku langu

Sisi wakazi wa Mburahati NHC eneo la Spider kama unaenda Luhanga tunasumbuliwa na vijana wacheza kamari.

Vijana hawa wanapora wananchi. Hivi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa anafanya kazi gani kama kazi ya kulinda wananchi inamshinda?

Wakazi wa hapa hatuna raha. Tulienda kutoa taarifa Polisi tarehe 11/4/2020 saa 3 na nusu usiku kuwa kuna vibaka wanasumbua wanacheza kamari pamoja na kuvuta bangi na kuiba polisi wakanijibu kesi hizo ni za mgambo wao hawawezi kufanya .

Sasa sisi wananchi tupeleke matatizo yetu wapi? Au mnataka mpaka watu wauane ndipo mje?
 
sasa mnalalamika nini si mnawajua?? kamateni chomeni moto!!! mimi wakati nakaa mitaa hiyo karibu na shule ya msingi kawawa ,wazazi wa vibaka walikuwa wananijua!! wakifanya uporaji nawafata kwao namalizana nao!! igeni mfano wa CaFu wa pale kwa Binti Kahenga... pale akuna Uporaji, Ukipora wanakuja wanakukamata wanamalizana na wewe!!
 
Back
Top Bottom