Hata mimi nimesha kuta watoto wanalazimishwa na wazazi sababu ya hali ngumu nyumbani. Hata wakipewa free education mzazi anamlazimisha mtoto kwenda pit ili kuongeza pato ya familia. Jamani kama tunashindwa kusustain familia kwa nini tunaendelea kuzaa? Ila ipo siku nitawaomba mniunge mkono katika kupiganisha hivi vitu.Nilishawahi ona watoto flani wakihojiwa chunya huko kwenye machimbo ya dhahabu, mtoto akaulizwa namtangazaji wa ITV kwamba akifanikiwa kupata hiyo dhahabu pesa atafanyia nini, mtoto wa miaka km saba hivi akasema anatarajia KUOA. hiyo likuwa 1998. Mungu awajaze nguvu na kuwapa afya njema, nikiwaona roho inaniuma saaaaaaaaaaana tena sana tu.
tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele bila mwelekeo
tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele bila mwelekeo
Hapo ndipo changamoto kwa kazi ya uongozi inapoonekana, "shime enyi tuliowachagua hapa si kupigana na kazi kwa watoto swala tatizo la kazi kama hizi ni nini? na hapo ni mjini (mbeya city- kata ya uyole) kama sijakosea mheshimiwa sugu umiza kichwa watu wanamatumaini makubwa baba.
Ukatili kabisa huu. Halafu mawe ya Mbeya ni magumu sana.
Ugumu wa maisha unatufanya tuishi maisha mafupi.