Vijana wachapa kazi Mbeya

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
19.jpg
 
Mbona ni ajira kwa watoto hiyo
Huyu dogo hata darasa analijua kweli au atakaa alijue kwa mtaji huu
 
Kazi ngumu si kwamba itamuua mtu mapema, wengi wanakomaa kama watu wazima, akikupiga ngumi yake ni noma, wanakula hao, Mi nina rafiki yangu, mwanaume, yeye alitokea bush, yaani ana nguvu mpaka inashangaza, sijui alikuwa anafanya kazi gani hasa uko bush, kama humjui, utamwona mtoto wa mjini tu, kutokana na mafanikio ya kiuchumi katika umri wake mdogo, ila akikusukuma utasema labda ni robot sio binadamu.
 
Nilishawahi ona watoto flani wakihojiwa chunya huko kwenye machimbo ya dhahabu, mtoto akaulizwa namtangazaji wa ITV kwamba akifanikiwa kupata hiyo dhahabu pesa atafanyia nini, mtoto wa miaka km saba hivi akasema anatarajia KUOA. hiyo likuwa 1998. Mungu awajaze nguvu na kuwapa afya njema, nikiwaona roho inaniuma saaaaaaaaaaana tena sana tu.
 
Hata mimi nimesha kuta watoto wanalazimishwa na wazazi sababu ya hali ngumu nyumbani. Hata wakipewa free education mzazi anamlazimisha mtoto kwenda pit ili kuongeza pato ya familia. Jamani kama tunashindwa kusustain familia kwa nini tunaendelea kuzaa? Ila ipo siku nitawaomba mniunge mkono katika kupiganisha hivi vitu.
 
wanawakomaza kimawazo ............sasa hebu waza shangingi moja lingewaokoa watoto wa ivi wangapi??
sherehe za jakaya ikulu zingewaokoa wangapi na kuwapa maisha bora pamoja na elimu.............mbali na mafuta ya mashangingi yangewajengea skul ngapi na madawati pamoja na vifaa na kuendeleza vipaji vya watoto wa namna hii wangapi??
yani nina hasira na wale wote wanaopelekea watoto kuteseka ndio mana nataka nianzishe kiwanda cha kuproduce AK 47 ka billion 7890 ivi then ndio tutajuana
 
Tuliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na hayo ndo maisha bora kwa definition ya magamba!
 
tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele bila mwelekeo

Hapo ndipo changamoto kwa kazi ya uongozi inapoonekana, "shime enyi tuliowachagua hapa si kupigana na kazi kwa watoto swala tatizo la kazi kama hizi ni nini? na hapo ni mjini (mbeya city- kata ya uyole) kama sijakosea mheshimiwa sugu umiza kichwa watu wanamatumaini makubwa baba.
 
mbugi, sugu sio waziri wa Kazi yeye ni mbunge tu sio kazi yake kutafutia watu ajira. Sera za nchi ndo zanafanya hawa watoto wagonge mawe badala ya kuwa shuleni. Unaweza kukuta hawana wazazi Hela zao zinatafunwa na maafisa TACAIDS au wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sera za watoto kama hao ni idara ya ustawi wa jamii watoto ambao wazazi wamefariki ni TACAIDS mbunge hana role kabisa katika hili.

Tatizo kubwa ni kuwa Keki ya taifa haigawanywi vizuri, hakuna tatizo lingine
 
Maisha ni kama kioo ukiya chekea nayo yanacheka
bado tunasafari ndefu na uvumilivu unahitajika
 
Dah!,ndo serikal ye2 inayowaandaa wato2 wa kuiongoza nch hii kw hapo baadae!.2cmlaumu mto2 ila 2walaumu wanaosema maisha bora kw kla mtanzania.Ina maana hawaelew kuwa huyo mto2 n mtz?.
 
...jamani tuliahidiwa kuwa Kasi Mpya itaongeza ajira. Sisi tunavyowahurumia hao watoto,wao wanakenua na kujigamba kuwa wanaongeza employment!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom