Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
inasoma ukweli, nadhani na serikali itoe za kwake zinazosomeka
TUMEJARIBU
TUMEWEZA
TUNASONGA MBELE
TANZANIA
50 YEARS OF INDEPENDENCE
(hata haikubari format)
alafu tucontrast kati ya hizi mbili tujue ukweli na pumba ni kipi!!!
hapo kwenye independence, kuna typo!!
vijana kuweni makini, msiwe kama Kikwete, hasomi kilichoandikwa na wengine wala yeye mwenyewe haandiki kitu chochote!!!
Independece!....
hapo kwenye independence, kuna typo!!
vijana kuweni makini, msiwe kama Kikwete, hasomi kilichoandikwa na wengine wala yeye mwenyewe haandiki kitu chochote!!!