Vijana wa UVCCM na BAVICHA huwa nashindwa kuwaelewa kabisa

Eagle One

Member
Dec 28, 2015
88
55
hawa vijana wa chama cha mapinduzi hua binafsi nashindwa kuwaelewa kabisa ..

japo sio wote ila ukiangalia kwa kiasi kikubwa wengi wao hua wanapenda sana kuzungumza lugha ya siasa kwenye mambo hata ya kufata principles za kikatiba na uongozi bora .

nyie mkiwa kama kizazi kijacho cha chama chenu msipo badilika mtazidi kukiua hicho chama .. mmekaa kishabiki mno ..

hii hata kawa vijana wa bavicha na wao kwa kiasi flan wanapendaga kuleta ushabiki hii tabia sio nzuri jamani ..

mkiwa mnataka kutetea mambo kwa Malachi ya vyama vyenu basi jaribuni kutofauti mambo muhimu kwa maslahi ya chama na mambo muhimu kwa maslahi ya taifa kwenye utawala bora ..

vijana ndio tuna haribu taifa kwa kiasi kikubwa mno .. na ina kera mno kuona hili suala linatokea ...
 
Ila hawa uvccm ndio nyumbu kabisa, sijui kama wanakijua chama chao vzr, matamko yao ni ya kipuuzi na kitoto mno na yasio na tija kwa chama chao kinachozidi kupoteza mwelekeo kila kukicha.
 
Tatizo linalowakabili vijana ni kutokuwa na mawazo mbadala,baba zao wanapokosea badala ya kutoa mawazo mbadala nini kifanyike ndiyo kwanza wanakuja kuharibu kabisaa.
 
Back
Top Bottom