covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,819
- 10,469
Kwa sasa hali ni ngumu sana kwa vijana, mbaya zaidi hatuoni jitihada zozote endelevu ambazo zinafanywa ili kuokoa vijana wa taifa hili kiuchumi. Sio ajira wala biashara ni majanga sana kwa sasa.
Ajira kiduchu zinazopatikana vijana tunagombaniana vibaya Sana huko kwenye Mashirika ya umma na binafsi kwa hiyo mwenye connection Kubwa ndio mshindi na wachache sana wanaopata kazi kwa juhudi zao binafsi.
Wale wenzangu na mimi bado wapo mtaani bila kujua hatma zao Kitu ambacho kisaikologia ni kibaya sana.
Sasa janga lingine hili, nimeona tangazo la NHIF kwamba kijana yeyotee mwenye miaka 26 na kuendelea huyo hafai kuwa tegemezi tena kwa wazazi na hapaswi kutumia bima kwa udhamini wa mzazi na anatakiwa awe na bima yk mwenyewe.
Hivi mlifikiria kabla ya kuhamua mlichoamua au wenzetu nyie mnaishi Tanzania ya wapi ambayo hamjui hata jinsi nchi hii na watu wake tunavyoishi kimungu Mungu tu. Nhif ni wabinafsi sana!
Sisi vijana mnaotupigia makelele tujiajiri wenyewe (japo kuna mazingira magumu ya biashara nchii hii kwa sasa) na bado serikali imeshindwa kutoa ajira bado mnatubebesha na zigo la kulipia matibabu tena.
Ukweli ni kwamba hali za kiuchumi kwa vijana wengi ni mbaya.
Hii ni dalili mbaya maana tutegemee vifo vingi kwa vijana zaidi kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu maana serikali yetu wenyewe mmeamua kutupa mateso bila chuki.