Vijana wa Tanzania tumewakosea nini utawala huu Awamu ya 5 mbona mnatupa mateso bila chuki?

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,819
10,469
Kwa sasa hali ni ngumu sana kwa vijana, mbaya zaidi hatuoni jitihada zozote endelevu ambazo zinafanywa ili kuokoa vijana wa taifa hili kiuchumi. Sio ajira wala biashara ni majanga sana kwa sasa.

Ajira kiduchu zinazopatikana vijana tunagombaniana vibaya Sana huko kwenye Mashirika ya umma na binafsi kwa hiyo mwenye connection Kubwa ndio mshindi na wachache sana wanaopata kazi kwa juhudi zao binafsi.

Wale wenzangu na mimi bado wapo mtaani bila kujua hatma zao Kitu ambacho kisaikologia ni kibaya sana.

Sasa janga lingine hili, nimeona tangazo la NHIF kwamba kijana yeyotee mwenye miaka 26 na kuendelea huyo hafai kuwa tegemezi tena kwa wazazi na hapaswi kutumia bima kwa udhamini wa mzazi na anatakiwa awe na bima yk mwenyewe.

Hivi mlifikiria kabla ya kuhamua mlichoamua au wenzetu nyie mnaishi Tanzania ya wapi ambayo hamjui hata jinsi nchi hii na watu wake tunavyoishi kimungu Mungu tu. Nhif ni wabinafsi sana!

Sisi vijana mnaotupigia makelele tujiajiri wenyewe (japo kuna mazingira magumu ya biashara nchii hii kwa sasa) na bado serikali imeshindwa kutoa ajira bado mnatubebesha na zigo la kulipia matibabu tena.

Ukweli ni kwamba hali za kiuchumi kwa vijana wengi ni mbaya.

Hii ni dalili mbaya maana tutegemee vifo vingi kwa vijana zaidi kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu maana serikali yetu wenyewe mmeamua kutupa mateso bila chuki.
 
KWA sasa Hali ni ngumu Sana kwa vijana, Mbaya zaidi hatuoni jitihada zozote endelevu ambazo zinafanywa ili kuokoa vijana wa taifa hili kiuchumi. Sio ajira wala biashara ni majanga Sana kwa sasa.

Ajira kiduchu zinazopatikana vijana tunagombaniana vibaya Sana huko kwenye Mashirika ya umma na binafsi kwa hiyo mwenye connection Kubwa ndio mshindi na wachache Sana wanaopata kazi kwa juhudi zao binafsi.
wale wenzangu na Mimi bado wapo mtaani bila kujua hatma zao Kitu ambacho kisaikologia ni kibaya sana.

Sasa janga lingine hili, Nimeona tangazo la nhif kwamba kijana yeyotee mwenye miaka 26 na kuendelea huyo hafai kuwa tegemezi tena kwa wazazi na hapaswi kutumia bima kwa udhamini wa mzazi na anatakiwa awe na bima yk mwenyewe.

Hivi mlifikiria kabla ya kuhamua mlichoamua au wenzetu nyie mnaishi Tanzania ya wapi ambayo hamjui hata jinsi nchi hii na watu wake tunavyoishi kimungu Mungu tu. Nhif ni wabinafsi sana!

Sisi vijana mnaotupigia makelele tujiajiri wenyewe (japo Kuna mazingira magumu ya biashara nchii hii kwa sasa) na bado serkali imeshindwa kutoa ajira bado mnatubebesha na zigo la kulipia matibabu tena.

Inanikumbusha kale ka wimbo ka sizonje... milango imefungwa, wengine (wajanja) wameshajua madirisha yalipo.

Awamu hii vijana tunakula msoto, lakini mkuu wangu kuna wengine wamegangamala na sasahivi wanakula maisha yani.

Kikubwa ni muda tuu, ila wakati tunausubiri huo muda tujishushe tuu na kuzitafuta noti kuanzia chini ili tupande taratibu.

Kilimo cha jembe la mkono, pamoja na changamoto zake (kiuhalisia zinajulikana kwa kiasi kikubwa). Hivo sio ngumu sana kujikita kwenye kitu unajua ups downs zake.

Biashara ndogondogo. Pamoja na changamoto zake.

Migodini

Kwenye uvuvi

Nakadhalika....

Ila kuna siasa pia dah,

Mambo ni magumu kiuhalisia bhandugu.
 
KWA sasa Hali ni ngumu Sana kwa vijana, Mbaya zaidi hatuoni jitihada zozote endelevu ambazo zinafanywa ili kuokoa vijana wa taifa hili kiuchumi. Sio ajira wala biashara ni majanga Sana kwa sasa.

Ajira kiduchu zinazopatikana vijana tunagombaniana vibaya Sana huko kwenye Mashirika ya umma na binafsi kwa hiyo mwenye connection Kubwa ndio mshindi na wachache Sana wanaopata kazi kwa juhudi zao binafsi.
wale wenzangu na Mimi bado wapo mtaani bila kujua hatma zao Kitu ambacho kisaikologia ni kibaya sana.

Sasa janga lingine hili, Nimeona tangazo la nhif kwamba kijana yeyotee mwenye miaka 26 na kuendelea huyo hafai kuwa tegemezi tena kwa wazazi na hapaswi kutumia bima kwa udhamini wa mzazi na anatakiwa awe na bima yk mwenyewe.

Hivi mlifikiria kabla ya kuhamua mlichoamua au wenzetu nyie mnaishi Tanzania ya wapi ambayo hamjui hata jinsi nchi hii na watu wake tunavyoishi kimungu Mungu tu. Nhif ni wabinafsi sana!

Sisi vijana mnaotupigia makelele tujiajiri wenyewe (japo Kuna mazingira magumu ya biashara nchii hii kwa sasa) na bado serkali imeshindwa kutoa ajira bado mnatubebesha na zigo la kulipia matibabu tena.

Ukweli ni kwamba hali za kiuchumi kwa vijana wengi ni mbaya.

Hii ni dalili mbaya maana tutegemee vifo vingi kwa vijana zaidi kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu maana serikali yetu wenyewe mmeamua kutupa mateso bila chuki.
We ulitaka uache kutegemea bima ya mzazi wako baada ya kufikisha umri gani?
 
Walisema nyie ni time bomb.
Wanasubiri mlipuke
 
Walisema nyie ni time bomb
 
Tatizo hili lipo duniani kote na kamwe usikae ukasubiri serikali ikusaidie utakufa kapuku.
Kuhusu suala la bima ni aibu kubwa kijana wa miaka 26 kutegemea bima ya wazazi kwa umri huo unapaswa uwe kwako na watu wawili au watatu wanakutegemea wewe.
Huu ni muda wa kila kijana kujiuliza kwanini vijana wa rika lake wamefanikiwa au wewe haujafanikiwa kimaisha.
Ukibaki unasubiri msaada wa serikali utakuna nazi hapo home mpaka unazeeka.
Jioni njema.
 
Back
Top Bottom