Vijana wa sikuhizi lile jambo ni starehe na wala si vita

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
Dada anaeleza changamoto wanazopata wakitumia condom za kike. Vijana wa sikuhizi hasa akiwa amekupa pesa kidogo anakomoa.
 
Attachments

  • 5E011091-8147-412F-922A-905A54FA66E6.MP4
    3.5 MB
FB_IMG_1575318075242.jpeg
 
Dada kaongea kwa uchungu sana.Anamaanisha.
Kuna dhana mbili ama tatu zinawatesa vijana.

Ya kwanza dada zetu hawakawii kukuita kibamia.So lazima kijana agangamale.Tena hapo kapiga mihogo,karanga,supu ya pweza....

Ya pili kuitwa mwanamume wa dar es salama.Shoo mbovu.Wacha vijana wakamie...

Ya tatu kama alivosema mwenyewe.Umekula vya watu then umemzungusha sana jamaa.Siku ukimpa ndio imekula kwako.Ataitwanga mpaka hiyo Zana ipotelee uko ndani.
 
Mpelekewe moto kidogo lawama, mkipelekewa moto wa uhakika eti tunawakomoa
 
Dada kaongea kwa uchungu sana.Anamaanisha.
Kuna dhana mbili ama tatu zinawatesa vijana.

Ya kwanza dada zetu hawakawii kukuita kibamia.So lazima kijana agangamale.Tena hapo kapiga mihogo,karanga,supu ya pweza....

Ya pili kuitwa mwanamume wa dar es salama.Shoo mbovu.Wacha vijana wakamie...

Ya tatu kama alivosema mwenyewe.Umekula vya watu then umemzungusha sana jamaa.Siku ukimpa ndio imekula kwako.Ataitwanga mpaka hiyo Zana ipotelee uko ndani.
shoo ya kibabe ndio mpango inaleta heshima ukipiga kibishoo awachelewwii kukupiga majungu ndio dawa ya kusimamia kucha
 
Binadamu ni kiumbe cha kucopy na kupaste. wanafanya wanachokiona kwenye pornography.
 
Ha ha! Tatizo jengine wanatuachia tuwe host Sana kitandani ndio maana wanajikuta tunawakomoa!! Hata hivyo hatuimalizi wavumilie tu wasipotuvumilia wao nani atatuvumilia😜😜
 
Back
Top Bottom