Vijana wa Nape...

Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
44
Dah... Chama kina iba makusanyo yatokanayo na makato ya watz, then kina walipa vijana wanaoshinda kwenye Social Networks.. Kibaya zaid kinawatengea budget kabisa... Eti Mwita25, Ritz1, ACHEBE per day mnavuta kiasi gani?
 
unauliza majibu kwani hujaona ma ubwabwa kwenye picha? Njaa ndio zinawatesa wote hao umemsaha na faiza fox etc
 
Dah... Chama kina iba makusanyo yatokanayo na makato ya watz, then kina walipa vijana wanaoshinda kwenye Social Networks.. Kibaya zaid kinawatengea budget kabisa... Eti Mwita25, Ritz1, ACHEBE per day mnavuta kiasi gani?
<br />
<br />
Sinia la pilau na buku 2 za vitafunwa asubuhi.
 
Back
Top Bottom