<br />Thread hii inangoja nini humu MODS?
<br /><font color="#ff0000"><b>unauliza majibu kwani hujaona ma ubwabwa kwenye picha? Njaa ndio zinawatesa wote hao umemsaha na faiza fox etc</b></font>
<br />Dah... Chama kina iba makusanyo yatokanayo na makato ya watz, then kina walipa vijana wanaoshinda kwenye Social Networks.. Kibaya zaid kinawatengea budget kabisa... Eti Mwita25, Ritz1, ACHEBE per day mnavuta kiasi gani?
huh...................MbopoThread hii inangoja nini humu MODS?