Vijana wa Nape wameamua kumtakasha kaniki kupitia mtandao wa jf, je wataweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa Nape wameamua kumtakasha kaniki kupitia mtandao wa jf, je wataweza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaseko, Jul 3, 2011.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kila siku wanapost vitu ambavyo havina maana na ambavyo havina tija 'je kaniki hawamjui rangi yake au wanasumbuliwa na njaa?' badala yake wangejadili juu ya kero zinazowasibu wananchi na kusaidia kupatikana haraka kwa majawabu ya matatizo kama vile umeme na mfumko wa bei na kuwashauli viongozi wao wasiwe mizigo.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bwanae Nape na magamba wenzie wameoza hata wakamuliwe ndimu wawekewe tangawizi,iliki, k.swaumu,mdalasini shombo iko palepale hawaliki teena jalala linawahusu
   
Loading...