Vijana wa mjini hebu tupen maujanja yenu ya mjini basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa mjini hebu tupen maujanja yenu ya mjini basi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by LEGE, Jun 7, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Bandugu watoto vijana na wazee wa mjini hebu tupeni basi maujanja ya mjini.
  Mim ni mbishi sana na ubishi wangu huwa siku zote unanigharim sana pindi nitakapo kujua ukweli wa mambo ya mjini.
  Kuna mambo na maujanja kazaa nimeshaya nyaka lakini hilinimejitahidi lakini hola.

  Kuna huu wizi/utapeli wa kuwauzia watu vipande vya sabuni kama simu.
  Hawa jamaa hutumia njia gani mpaka wanafauru kukurubuni au huwa kunakuwa na kiini macho kidogo?
  Kuna wale ambao huwa wanakuwa na simu halafu wanashika gazeti,mfuko wa kaki,kofia,kitambaa au kitu chochote cha kuzugia hawa nishayajua maujanja yao.

  Kuna hawa wengine huwa wanakuwa hawana kitu mkononi zaidi ya simu tu ni mda gani huwa wanabadilisha na kukupa kipande cha sabuni??

  Kwa maana wakikupa uikagua unakuta ni mzigo wa kweli na niwamaana lakini inapofika kwenye malipo chacha hapo ndo penye siri kubwa.

  Kama utakomaa utaikagua na kulipa hela wakati ikiwa mkononi hakika atang'aka na kufoka na kutaka umpe simu yake na hera yako atakurudishia lakini ukilemaa tu unaliwa je ni maujanja yapi huyatumia kubadilisha simu na sabuni.Wajanja wa mjini naomba maujuzi kwa hili
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo tuanze kufundishana wizi sio.....?
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  wanakuwa na simu mbili inayofanya kazi moja na sabuni moja pale unapoikagua anakupa original ukimaliza anajifanya anachomoa line pale ndipo anapokuingiza mjini na kukupa feki a.k.a sabuni hapo upo.
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  sihitaji kujifunza wizi??
  Kama utakuwa umenisoma vizuri utajua ni nin?? Nilikuwa nataka ??
   
Loading...