Vijana wa Lumumba andikeni barua za kujiuzulu, waliowajiri kuwatetea, ndio watesi wenu

Ndio mimi namshabikia Magufuli..
Una lingine?
Lingine ni usikubali ushabiki kuchukua reasoning capacity yako penye kusifia sifia pasipo hitaji kusifia usisifie...penye ku critiscise fanya constructive critiscism...
 
Lingine ni usikubali ushabiki kuchukua reasoning capacity yako penye kusifia sifia pasipo hitaji kusifia usisifie...penye ku critiscise fanya constructive critiscism...

🤣🤣🤣 mbavu zangu
Niache niandike zangu kile nataka.. sijatumwa kuwemo humu.. naburudika nitakavyo na sipangiwi.. eti nini eeeh.. andika wewe hayo unataka kuona naandika mimi..
 
mbavu zangu
Niache niandike zangu kile nataka.. sijatumwa kuwemo humu.. naburudika nitakavyo na sipangiwi.. eti nini eeeh.. andika wewe hayo unataka kuona naandika mimi..
Ndio maana unaonekana umenunuliwa kuandika unayoandika maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kundika na kutetea upuuzi kama wewe na wenzio wa Lumumba mnavyofanya.

Kwani mangapi yamefanyika watu tukapongeza? Unafki sio kitu kizuri dada, usijidai hulipwi kumbe unakula kodi zetu bila majasho yoyote alafu na bado huachi kututia ukakasi hapa JF.
 
Back
Top Bottom