Vijana wa leo wanatumiwa na wanasiasa bila kujijua(shame)

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Napata shida na vijana wa leo wanatumiwa kama mshumaa wanatumika kisha wanapaisha wengine mfano leo nimeona vijana wengi wakiandamana kuuliza nikaambiwa bwana mkubwa kapewa dhamana. Huu ni ufinyu wa kuelewa kwani mtu yoyote awe bwana mdogo,bwana gaid, bwana mkubwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa. Hivyo vijana wa leo wanatumiwa sn na wanasiasa bila kujijua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom