Vijana wa kuhesabu kura uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa kuhesabu kura uchaguzi mkuu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mkombozi, Oct 5, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hii nimeipata kutoka kwa wana bidii blog


  --- On Tue, 5/10/10, boniface magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

  From: boniface magessa <magessabm@gmail.com>
  Subject: [wanabidii] PROFESA MUKANDALA AFANYIA INTERVIEW WATU WA KUHESABU KURA HAPA MOSHI!!
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Tuesday, 5 October, 2010, 11:04

  Habari wanabidii wenzangu,
  Jana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili hapa Moshi (YMCA) kwa ajili ya kupata watu wa kuhesabu kura siku ya oktoba 31.Amefanyiwa usaili na profesa Mukandala,makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam.Eti ana kampuni ya TEMCO iliyopewa tenda hiyo na NEC ya kutafuta watu wa kuhesabu kura ktk uchaguzi mkuu.nisaidieni jamani hivi Mkandala si ni CCM damu yule!!! nisaidieni nini kinaendelea katika nchi hii!!au aliye na taarifa zaidi aniambie kuhusu hili.iam shocked!

  Jamaa alimjibu

  In short ni JAKAYA MRISHO KIKWETE ndiye alimpitisha (mteua) Prof. RWEKAZA MUKANDALA kuwa VC wa University of Dar es salaam kama shukurani ya kazi nzuri ya REDET iliyompatia Kikwete Usindi mwaka 2005 na motto wa Hali mpya nguvu mpya na kasi mpya na kuwaacha akina Prof. Kikula chari mbaya.
   
 2. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Makubwa....!!! :confused2:
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kura zinahesabiwa na nani kwa kwaida. Vijana msusieni huyo mwizi Mkandala ...... kama ni tenda itangazwe nchi nzima mchakato ueleweke. CCM wanakuja na ujanja mwingine wa wizi..................
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  ooops nimechoka
   
 5. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna haja ya kufahamu namna ya hawa wahesabu kura wanavyopatikana. Zimebaki less than 4 weeks kabla ya uchaguzi hadi hii leo bado tu wahesabu kura hawajajulikana? kazi kweli kweli!

  Nasikia kuna mkakati wa tanesco kuzima taa nchi nzima na tume itasema kwamba uhesabuji hautawezekana kwa sababu hakuna umeme vyama vya upinzani vikikubali tu basi hapo ndiyo wizi mkubwa utafanyika. TLP, CUF, NCCR na utitiri wa vyama vingine inadaiwa vitayakubali matokeo haraka sana.

  Na kama tunavyofahamu vyama hivi havitoi upinzani wowote kwa chama filisi. Hivyo katika jumuiya ya kimataifa chama filisi kitataka kuonyesha kwamba CHADEMA ndiyo wakorofi kwa kukataa matokeo. Watanzania tujiandae na makarabai na tochi nchi nzima ili kama umeme utakatwa kama mkakati wa kuiba kura basi tutoe karabai zetu ili uhesabuji uendelee bila doa.

  Hakuna kulala mpaka chama filisi tumekiondoa madarakani.
   
 6. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sidhani kama tutafika!
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya sasa! naona mambo yanaendelea!!
   
 8. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Msiwe na wasiwasi hayo yote tunayajua na tumejipanga. Ngoja tu wafanye hayo madudu wenyewe watashangaa.
   
 9. L

  Linababy Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mwaka huu ccm wameshafulia. Kwa sasa wameshashindwa hivyo wanajipanga jinsi ya kuiba kura ndio maana wanawachagua vishanshuda wenzao watafute watu wa kuhesabu kura ili waibe vizuri.
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Watatumia chemli? Hata hivyo hakuna kulala. Na ikiwa hivyo huo ndio mwanzo wa kumwaga damu!!!!!!!!
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwani kuhesabu kura kunahitaji maelekezo ya Professor wa political science? Si kujua kuhesabu, kutoa na kujumlisha! Hesabu za shule ya msingi tosha! Ila mimi najua TEMCO ni election observer/ monitor (Tanzania Election Monitoring Committee).

  Kwa manispaa ya Kinondoni kazi hizo zilitangazwa kwenye gazeti la Daily News, sasa sijui kwa manispaa nyingine walipatikana vipi? Anayehesabu kura ni Msimamizi wa Kituo na msaidizi wake.
   
Loading...