Vijana wa Kileo Wanalalamika Kukosa Ajira

Ok endelea kufikiria hivo hivo si ushazoea hadi material ya kusoma mwalim anakupa ili wewe kazi yako kumeza
Hahaaha we motivesheno bhna unafikiri vijana wamekariri ajira njoo mitaani uone graduates wanayopiga vibarua ili wapate mtaji wa kwenda uko nje ya box unakosema ww lkn wap wanalipwa kidogo sana 5,000,10000, itatosha wapi.

Fikiri sanaa mkuu tena kwa kina tatizo la vijana au graduates sio kutoka nje ya box wana idea nzur sana

Angalizo lazima uwe na jicho pevu kuelewa jamii kwa nini iko ilivyo

Mafanikio ni zaidi ya akili na juhudi.
 
fact
 
Sawa kijana
 
Ajira sio janga la kila nchi, acha kudanganya watu.
Tatizo Asilimia Kubwa ya Vijana Mna mawazo ya Kuajiriwa na hicho kitu kitawatesa sana mkiendelea kufikiria na kuleta perception zenu za Kuajiriwa

Kwa Maisha ya Sasa usipofikiria nje ya box na kuwaza Kuajiriwa basi utazeeka unasubiria Ajira

Mtu mwenye akili timamu na mwenye kuthamini Maisha yake lazima atafute alternative way ya kujiingizia kipato a part from Kuajiriwa

Ajira ni Janga la Kila Nchi na hakuna Nchi yenye Uwezo wa Kuajiri Wahitimu wote au Watu Wake Wote kwenye dunia hii ya Kidigital

Tanzania ndo Nchi pekee Wahitimu/Watu Wake wanalalamika kila kukicha kukosa Ajira Na huku Serikali haiwezi Kuajiri watu wote lawama nyingi zinatupiwa serikali na huku hakuna nchi yeyote inayo manage kuajiri watu wote

Narudia tena Vijana Mnao hitimu na Mliohitimu Fikirieni Nje ya Box Badilisheni hayo mawazo wa Kuajiriwa na uwe na Mawazo ya kujiaji

Tatizo Vijana Wengi Ni waoga wa Maisha wamekosa Usubuti Kabisa Huku wakifikiri Degree Zao na GPA zao ndo kila kitu na ni Lazima Waajiriwa

Wewe endelea Kukaa hapo ulipo na kusubiri uajiriwa Kwa Mtazamo huo lazima uone kila mtu mbaya na vile vile utaichukia Serikali yote, Utaona kila kitu kinachofanywa na serikali hakifai

Na Mawazo ya Kuajiriwa yanaweza kukufanya Ukawa na Chuki na Kila mtu na Kuwaonea Wivu walioendelea

Kijana Amka toka hapo ulipo tafuta cha kufanya ujikwamue kimaisha achana na Mawazo ya Kuajiriwa wakati hata dalili ya kupata Ajira hamna

Leo hii Wengine tungekuwa tunasubiri Kuajiriwa basi Hadi Bando tungekuwa tunaomba ila tulitafuta Plan B na Maisha yanaenda safi kabisa hata hata Ajira naona haina umuhimu

Hakuna kinachoshindikana Toka hapo Ulipo Fikiria Nje ya Box Acheni Uvivu na Na Uoga wa Maisha kila kitu kinawezekana

Wewe Endelea Kulia lia na Ajira utashtuka Ushazeeka

Jitahidi Msome Vitabu mbali mbali mtajifunza vitu tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom