Vijana wa Kenya wafadhili mama zao usafiri wa ndege na kutalii maeneo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,732
48,288
Kundi la vijana wa Kenya walikusanya hela na kufadhili mama zao kutokea vijijini wasafiri kwa ndege na kutalii maeneo kama njia ya kurudisha shukrani kwa kuwalea hadi wamefika hapo walipo kimaisha.

--------------------------------


untitled_design_11_19.jpg

A photo of the women in a plane FACEBOOK

Youth from Uasin Gishu County treated their mothers to an unforgettable experience after they paid for their trip to Nairobi via a flight.

In a video seen by Kenyans.co.ke, the 50 elderly women are heard chanting songs, probably to show excitement as some had neither set foot in Nairobi nor seen the inside of a plane.

The women boarded the plane from Eldoret and were headed to Nairobi where they will be visiting the Bomas of Kenya, Safaricom Stadium, the National Assembly as well as the National Park.

untitled_design_12_14.jpg

Women from Uasin Gishu pose for a photo
The youth were appreciating their mothers for everything they had gone while raising them.

Sources indicated that the idea started with one of the members, who then decided to share it with the rest of his comrades from Moiben village.

"About 30 people embraced the idea. At first we planned to fly our fathers to Nairobi from Eldoret.


"25 people finally managed to raise the required amount and in December 2018, our dads travelled to Nairobi via an airplane where they visited the Nairobi National Park and KASS media studios,โ€ Sosthen Bellat, the organiser stated.

After the successful trip, other colleagues from neighbouring villages showed interest, therefore, another trip to Nairobi for their mothers was organised.

It is then that they raised the funds and booked a plane for their mothers to Nairobi.

 
from what i know, uasin gishu county is primarily dominated by kalenjin.

since tribalism is number one concern when it comes to speaking social issues involving people of kenya, ingependeza sana tittle yako ungeandika "vijana toka kabila la kalenjin wafadhili mama zao usafiri wa ndege na kutalii maeneo".

ni ushauri tu maana nina hakika ktk hao wamama hakukuwa na wamama wajaruo au waluya kwenye hilo kundi.wote walikuwa ni wakalenjin.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wakanishangaa

Really really really like serious????

And it's on the news?

Thank you.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wakanishangaa

Really really really like serious????

And it's on the news?

Thank you.

Ujifunze kitu hapo, sio kuacha mama analiwa na funza kijijini, buku saba za Lumumba ukizikusanya ipo siku unaweza ukamfadhili atalii nchi.
 
Ujifunze kitu hapo, sio kuacha mama analiwa na funza kijijini, buku saba za Lumumba ukizikusanya ipo siku unaweza ukamfadhili atalii nchi.
Yeah mama kila siku ananisumbua nimlete Kariobange ashangae how you guys are managing to inhale a single breath there alive.
 
Yeah mama kila siku ananisumbua nimlete Kariobange ashangae how you guys are managing to inhale a single breath there alive.

I always wonder whether all Danganyikans are as stupid as you are and with a lot of cowdung in between their ears.. Stop showing your mongoloid gene in public. Yuck
 
I always wonder whether all Danganyikans are as stupid as you are and with a lot of cowdung in between their ears.. Stop showing your mongoloid gene in public. Yuck
Life supporting machine is necessary to her trip to Nairobi in case of emergency ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

We love life ๐Ÿ˜„
 
uasin ngishu watu wako na mashamba kubwaKubwa sana,
Mtu mmoja anaweza kuwa Na zaidi ya 200acres
kadanganye watu wasiojua kenya.

kama watu wa uasin ngushu wako na mashamba kubwakubwa, kwanini eneo hilo lina migogoro ya ardhi?.

IMG_20190612_205837.jpeg
Screenshot_2019-06-12-20-57-49-151_com.opera.browser.jpeg
 
Back
Top Bottom