Vijana wa Kenya wafadhili mama zao usafiri wa ndege na kutalii maeneo

Unadhani Tunaishi juu ya miti... Ujinga enye iko Danganyika sio kidogo
Nimepata habari nyeti za uvunguni kwamba wakenya ni kama wakimbizi tu nchini mwao maana ardhi yote imetwaliwa na mabwanyenye ya serikali. Huku chini ninyi makapuku wala-vumbi mnaparuana kama manyang'au kusaka vipande vichache vilivyosalia.
 
Back
Top Bottom