Ah....mambo mengine hayahitaji hata kubishana asee uvaaji na swags zao tu ukiwaangalia wanaonekana ni mafala wa mkoani!Ni wa Dar mkuu,wengine hawa hapa!
Sio kweli. Dar hamna ardhi kama hiyo... Acha uongo!Ni wa Dar mkuu,wengine hawa hapa!
Huyo alovaa vest anasikizia utamu sijui kwa mbele au kwa nyuma yote hayo siri yake