Hakunaga 4nce
Member
- Jun 10, 2011
- 36
- 5
Mim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.
Siyo kuwauza wake zao tu hata kujiuza wenyewe!
hawa ni mambwiga sana aiseeMim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.
Weka picha!! Kwa maisha ya Igunga, ukipewa buku 10 unaweza kutoa hata mke, sembuse shahada??
Bro uamini nini sasa kama kuna vijana wapo upinzani na wapo wasiokuwaupinzani.Pia wapo wa kufanya hivyoUna uhakika na hili. mimi siamini kijana kuuza shahada.
Amin ucamin na ushangae maajab hayo ya vijana wa Igunga.