Vijana wa Igunga na shahada

Hakunaga 4nce

Member
Jun 10, 2011
36
5
Mim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.
 
Weka picha!! Kwa maisha ya Igunga, ukipewa buku 10 unaweza kutoa hata mke, sembuse shahada??
 
Mim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.
hawa ni mambwiga sana aisee
 
sasa kama ni hivi pesa za TZ anazo nani ...na huo mgawanyo wa uchumi kitaifa kwa hii miaka 50 unaendaje!?
Weka picha!! Kwa maisha ya Igunga, ukipewa buku 10 unaweza kutoa hata mke, sembuse shahada??
 
Mkuu, sio ujinga, ni umasikini tu!
Mkuu, kama wewe ni kijana wa kijijini pale Igunga, unategemea kilimo, mkeo ni mjamzito wa miezi tisa, na ana compications tayari, umeshaambiwa na nesi kuwa itakubidi uende hospitali ya mkoa, ndani una gunia mbili za mpunga, una watoto wengine wawili, akiba yako kwa ajili ya uzazi ni 50K. Unaambiwa chukua 30k usipige kura. What would you do? Umasikini ni kitu kibaya sana!!
Amin ucamin na ushangae maajab hayo ya vijana wa Igunga.
 
Vijana wanaota jua kama solar power kwa nini wasiuze shahada?,Hii ni ishara ya kukata tamaa na maisha,Tuwaelimishe vijana wenzetu umuhimu wa shahada na mustakabali wa maisha yao ya baadae,wameuza wameganga njaa siku mbili,baadae wanarudi kupigika kama kawa
Taratibu tutafika inawezekana
 
Mim stak kuamin kama kijana wa sasa anaweza kuuza shahada yake kama walivyofanya vijana wa Igunga hii imenifanya niwaone ni maskin wa akil na kila kitu ambapo wanaweza kuuza hata wake zao.

Hapo kwenye red mkuu mbona imefanyika? Si unakumbuka yule Ustaadh Rajab aliyemegewa mke wake na Mwigulu, kapewa vimilioni kadhaa kauchuna mpaka leo.Halafu BAKWATA Igunga hawakutoa tamko.
 
na shahada hizi zilikuwa zinanunuliwa na CCM hasa yale maeneo ambayo chadema ina nguvu kwahiyo CCM ilichokifanya
Igunga ni kuibaka demokrasia kwani hakuna wanaoweza kuwashawishi kuwa CCM ni chama bora anymore.
 
Ushahidi wa hili upo? manake tumekuwa tukisikia stori za kununua shahada si Igunga tu hata Kiteto!

Hizo ni mbinu za muda mfupi na chama kinachotegemea mbinu hizi kinaelekea kuzimu
 
sio Igunga tu ni tatizo la nchi nzima,sijui mtakumbuka karibu na bohari kuu DSM miaka ya nyuma Lipumba na waandishi wa habari baada ya kutonywa na raia wema walipopata maelfu ya vitambulisho vya wapiga kura kutoka nchi nzima ambavyo kuna watu waliambiwa wavichome lakini havijachomeka vizuri ?
 
Tatizo si umaskini peke yake, ujinga walionao unawafanya wasitambue umuhimu wa kura!!
Vyama vya siasa vinapaswa kuwaelimisha wananchi umuhmu wa Kura!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom