Vijana wa DSM ni masharobaro tu, hawawezi kushiriki mapinduz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa DSM ni masharobaro tu, hawawezi kushiriki mapinduz

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KWETU PAZURI, Nov 8, 2011.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawasilisha
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nini maana ya kuwa Sharobaro?
  Na kuwa Sharobaro inazuia vipi mapinduzi kufanyika?
  Mwanamapinduzi wa kweli uwa anaanzisha na wengine wanafuata. Sasa anzisha alafu wengine watafuata.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utakufa kwa pressure, watu hawana muda lala njaa kivyako kula bata kivyako, sasa kikimbizana na polisi ya nini wavuta bange wa Arusha ndio wanaweza hayo kwani huvuta huku wana njaa.
   
 5. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili ni tusi kwa kweli!
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nini maana ya sharobaro?
  Ingawa kweli wananchi wengi wa Dar hawataki mabadiliko
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  naunga hoja mkono.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  niko nyuma yako!
   
 9. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [Utakufa kwa pressure, watu hawana muda lala njaa kivyako kula bata kivyako, sasa kikimbizana na polisi ya nini wavuta bange wa Arusha ndio wanaweza hayo kwani huvuta huku wana njaa.]

  Mungu akusamehe kwa kuwa hujui unenalo.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Na mimi nafatia nyuma yako.
   
 11. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  naomba mimi ndio nikae nyuma ya feisbuk,namapinduzi siyataki
   
 12. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usiwadharau vijana ambao ndiyo ngugvu kazi. Kama unawaona sio REVOLUTIONARY embu waonyeshe mfano. Anza wewe na uone watakavyo kupa support. Wewe mwenyewe unahitaji kwanza kujifunza nini maana ya mapinduzi. Hapo ulipo unaiga na huku unawashambulia wenzako. Nahitaji unijulishe mangapi uliyofanya ya kimapinduzi.


  When you have seen one ant, one bird, one tree, you have not seen them all.
   
 13. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tooobaa!!!!!
   
 14. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  usishangae mkuu, ndo maana mamdenyi alikataa mtu asikae wala kusimama nyuma yake.
  Sheria ya cameruuni hiyoo inanukia
   
Loading...