Vijana wa Chadema tusimame imara na kushikamana

smy

Senior Member
Jul 7, 2017
163
126
Habari wanajf
Leo nakuja hp ndugu zangu, vijana wenzangu wapenda maendeleo ya nchi yetu Tanzania popote tulipo kusimama, kushikamana kwenye harakati za kuboresha mapungufu kwenye nyanja mbalimbali za maendeleo,kuzingatia kwamba tunaelekea 2020 ambapo tutarajie uchaguzi, naomba tusifanye makosa km hatutaki yafuatayo katika jamii yetu:

1.umasikini mijini na vijijini
2.uhujumu uchumi
3.viongozi wapenda rushwa
4.mishahara kidogo
5.ukosefu wa ajira
6.viongozi waadilifu
7.uhalifu
8.uchumi mbovu
9.elimu duni
10.siasa za kale
11.bashite
12.ukabila
13.pesa adimu
14.utekwaji wa vijana
15.viongozi wababe
16.viongozi njaa
17.kipaumbele katiba
18.kufa viwanda binafsi
19.uhuru wa habari
20.miradi duni
N. K
Wazo la Leo

iPhone 6s
 
Tumesubiri hiyo ilani mpaka leo, tunaona inayotekelezeka niya kufukuza wapinzani
bungeni,na kuwakamata,na policcm kuta
mba hawa wa achii.au kuna ilani nyingine
inakuja ? Elimu bure mmeigeuza,elimu bila malipo.bure hatukuona,bila malipo hatuo
ni,tunacho ona ni elimu ya juu kutupwa ba
rabarani,badala ya kua udom,kunyimwa mikopo,huku bashite asiye na cheti akiende
Lea kuteka wananchi na kuvamia maofisi ya
wananchi na policcm wenyewe mibunduki !
Manadhani hatuna akili,tusubiri tu bado tukitizama ilani feki kama sio hewa !.hamumpati mtu tena.kaeni na mauongo yenu,yaliyokomaa na kuota
Sharubu.aibu iliyoje midude isiyochoka
kuongopa na hakuna maendeleo kwa
jamii ? Eti bambadia,maskini gani wa ki
jiji kipi anataka bombadia? Aendenayo
shamba,akipakia jembe?Jamani ccm
tumieni tu akili ya kunawia uso.ccm
itapita magufuli atapita ila utanzania na
Tanzania vitadumu !uzao wenu utarithi
nini nchi hii ?laana nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani propaganda zenyewe ndio hizi?
 
2020 usifanye makosa mpnz... Na wakipita 2021 watatuua kabsa

iPhone 6s
 
Wapi UKAWA tena au ndio kiki za kisiasa za 2015. Yaani shida ya CHADEMA ni walafi wa madaraka ndio shida yenu hapo naona mnajinadi mmewaacha CUF na NCCR, CCM itadumu sana madarakani hadi 3000. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Tuleteeni makapi yetu tuyazoeee. Ccm hoyeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ccm moyo wenu kutawa nchi ni nguvu ya policcm.mlizuia ukuta napolidi wakafanya mazoezi ya kuua watu bila kificho,na Ben mkampoteza,tukiomba Mzungu amtafute Ben, majaliwa anakataa ! Kama mnajiamini,kwanini hamtaki siasa ziendelee na polisi waende kibiti kwa wanaume,wasikimbi
zane na wapinzani ? Hamna lolote nyie ni mabashite tu kwa tabia na matendo @ Sugu bungeni ! Mnakua hata wavivu wa macho kuona ukweli ! Hovyo kabisa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumesubiri hiyo ilani mpaka leo, tunaona inayotekelezeka niya kufukuza wapinzani
bungeni,na kuwakamata,na policcm kuta
mba hawa wa achii.au kuna ilani nyingine
inakuja ? Elimu bure mmeigeuza,elimu bila malipo.bure hatukuona,bila malipo hatuo
ni,tunacho ona ni elimu ya juu kutupwa ba
rabarani,badala ya kua udom,kunyimwa mikopo,huku bashite asiye na cheti akiende
Lea kuteka wananchi na kuvamia maofisi ya
wananchi na policcm wenyewe mibunduki !
Manadhani hatuna akili,tusubiri tu bado tukitizama ilani feki kama sio hewa !.hamumpati mtu tena.kaeni na mauongo yenu,yaliyokomaa na kuota
Sharubu.aibu iliyoje midude isiyochoka
kuongopa na hakuna maendeleo kwa
jamii ? Eti bambadia,maskini gani wa ki
jiji kipi anataka bombadia? Aendenayo
shamba,akipakia jembe?Jamani ccm
tumieni tu akili ya kunawia uso.ccm
itapita magufuli atapita ila utanzania na
Tanzania vitadumu !uzao wenu utarithi
nini nchi hii ?laana nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app

MKUU hivi leo mkipewa nafasi ya kuunda Serikali ...Taja kikosi kazi cha Chadema kitachoweza kupigania hayo majambo?
 
Habari wanajf
Leo nakuja hp ndugu zangu, vijana wenzangu wapenda maendeleo ya nchi yetu Tanzania popote tulipo kusimama, kushikamana kwenye harakati za kuboresha mapungufu kwenye nyanja mbalimbali za maendeleo,kuzingatia kwamba tunaelekea 2020 ambapo tutarajie uchaguzi, naomba tusifanye makosa km hatutaki yafuatayo katika jamii yetu:

1.umasikini mijini na vijijini
2.uhujumu uchumi
3.viongozi wapenda rushwa
4.mishahara kidogo
5.ukosefu wa ajira
6.viongozi waadilifu
7.uhalifu
8.uchumi mbovu
9.elimu duni
10.siasa za kale
11.bashite
12.ukabila
13.pesa adimu
14.utekwaji wa vijana
15.viongozi wababe
16.viongozi njaa
17.kipaumbele katiba
18.kufa viwanda binafsi
19.uhuru wa habari
20.miradi duni
N. K
Wazo la Leo

iPhone 6s
Mkuu taja kikosi kazi cha CHADEMA chenye KIFUA CHA KIPIGANIA MAMBO ULIYOYAAINISHA HAPO JUU...
Ukitaka kujua hali yenu ni tete Ngoja nikupe list ya Viongozi waandamizi ambao wako in line ya kuunda serikali ya CHADOMO ..... naomba mkuu upange kikosi
1) LOWASSA
2)MBOWE
3)SUMAYI
4)MNGEJA
5)MASHA
6)MAKONGORO MAHANGA
7)MPENDAZOE
8)TUNDU
9)KINGUNGE
10)MDEE
11)BULAYA
12)MR SUGU
13)PROFFESOR J
14)LEMA
15)WENJE
16)MDEE
 
Tukizungumzia Chadema ambacho ni moja ya chama cha ukawa, kuna viongozi wengi ambao wanatoka cuf, nccr,Act, wanatekeleza ilani ya chama kimoja wapo ambacho kitatoa raisi
Mf. Kama angeshinda lowassa it means angeteua baraza kutoka ukawa kwa ujumla

iPhone 6s
 
Kwanza tupewe,kikosi kazi kitajulikana.sasa hivi wakijulikana tu,watapewa jina la wachechezi nakuozea jela hata kabla ya serikali yenyewe.

Sasa hivi kilichotanda ccm,ni imani haba,mashaka mengi,tumaini limepungua na hofu isiyo kipimo ! kila mpinzani kwao ni tishio.ima wamnunue ,wamuue,au aishie jela ! Sio wakujua chochote hawa,watamaliza watu,kwa kuwateka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ccm moyo wenu kutawa nchi ni nguvu ya policcm.mlizuia ukuta napolidi wakafanya mazoezi ya kuua watu bila kificho,na Ben mkampoteza,tukiomba Mzungu amtafute Ben, majaliwa anakataa ! Kama mnajiamini,kwanini hamtaki siasa ziendelee na polisi waende kibiti kwa wanaume,wasikimbi
zane na wapinzani ? Hamna lolote nyie ni mabashite tu kwa tabia na matendo @ Sugu bungeni ! Mnakua hata wavivu wa macho kuona ukweli ! Hovyo kabisa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
The honeymoon in Kibitib is over, hiyo single ya kufurahia binadamu wenzio kufa imefikia ukingoni, Uhalifu haulipi "Crime does not pay" - Lucky Philip Dube
 
Hiyo crime iko kibiti tu,ila kuua wapinzani sio crime! au kuwafunga bila kosa sio crime.hatufurahi wala watupendi na hatuungi mkono,yeyote auwawe,kwakua hatujui sisi lini kibiti itatukumba.kwani sisi tupo Burundi ?
Ila tunacho kataa niuonevu wenu mkiwa mnawakimbia kibiti eti hapapitiki,wananchi wajilinde ! Hii ni kauli ya mwenyedhamana ya ulinzi wa raia. Sasa furaha yangu hapo iko wapi watu wakiuwawa? Usinizogeze,kisutu,kwakua hamchelewi kunipima mkojo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom