Vijana wa CHADEMA Tunduma wamechachamaa

hahahahahaa...kweli aisee ukute soko halina mlango yaani halina mbele wala nyuma.
mkuu usifaninishe wananchi wa tunduma na sehem zingine za nchi.tunduma mjini wananchi wanajiweza kumbuka soko limejengwa kwa pesa zao na hii ni baada ya kutoka kuunguliwa muda sio mrefu soko ni la viwango vya kimataifa ndio maana hawababaishwi na siasa za ccm
 
mkuu vijana wametulia tatizo ni kwamba mheshimiwa hafiki na hii inawaboa sana vijana na kumbuka leo katikati ya mji biashara hazifanyiki kotokana na vurugu za asubui na hii inawaongezea hasira zaidi lakini tunachoshukuru leo polisi wamekua wapole ajabu sijui badae akifika mheshimiwa itakuje.
Vipi mna mabango ya kutosha.............
 
mkuu wa soko anasoma taarifa ya ujenzi baada ya kukaribisha na kandoro mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom