Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Baada ya kukutana, vijana hao kupitia umoja wao wa UVCCM na Bavicha wakatoa neno kwa wenzao nchini kote kushirikiana ili kutekeleza agizo la Rais Dk John Magufuli la kufanya usafi.
Sengerema. Suala la usafi limewakutanisha pamoja vijana wa vyama vya CCM na Chadema mjini hapa.

Mwenyekiti wa UVCCM wilayani hupa, Magdalena Luciana na wanachama wa Bavicha, Richard Lugwisha na Amina Shaaban wamesema usafi ni muhimu katika makazi ya watu na ni jukumu la kila mtu kuuzingatia.
“Tumeamua kuweka vyama na siasa pembeni ili tuweze kufanya usafi katika maeneo yanayotuzunguka kuepuka mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu,” amesema Luciana.
Naye Shaaban akasema: “Zoezi la kufanya usafi kila mwezi ni kama jumuiya ambayo itakuwa endelevu, hivyo wanachi na vijana wengine hawana budi kushirikiana."