Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

Hiyo ni MiCCM, Mbona Kila Mtu anajua Wanavyojichamefelage.. CCM Mbona Mnapata Shida Sana Si Mwachieni tu Mbowe...Mmebugi steps ktk Kumkamata Mbowe. Hii style Wanayoitumia Vijana Wa CCM ni ya Kianalogy zaidi. Ujinga Ujinga...
 
Ccm wao walishakufa muda mrefu nafasi yao ikarithiwa na polisi, tume yao ya uchaguzi na usalama wa taifa na hao ndio wanapambana na Chadema leo.
 
CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE

Mkoani Arusha.

Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza mahakama kumuachia huru mwenyekiti wa chama hicho anayekabiliwa na kesi mbaya ya Ugaidi nchini yenye mikakati ovu dhidi ya viongozi wa nchi na raslimali za umma kwa mjibu wa mkuu wa jeshi la polisi nchini kamanda Saimon Sirro ambaye alisikika akizungumza katika mahojiano ya televisheni hivi juzi..
CCM imeishiwa mbinu na kwa sasa inaelekea kukata pumzi. Siku zote wenye akili wanaishangaa kabisa ujinga huu wanaouendeleza,
Kila wakiteleza mkakati huu mfu wanaongeza idadi ya watu wanaojiunga na harakati za kudai Katiba mpya
 
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.

Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.

Haya mtifuano huo ndani ya CHADEMA.
 
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Habari za CHADEMA zitangazwe na TBC!!!
Hao ni parody. Besides, hao CCM kamwe hawajawahi na mawazo wao huunga mkono kila kitokacho kwa viongozi wao. Hata kesho viongozi wao wakiamks na kusema wanaanzisha mchakato wa kikatiba na wao wataunga mkono.

Ksms ilivyokua Korona, wote waliunga mkono kiwa tumeimaliza korona, wakaunga mkono kiwa hstutaki chanjo na sasa wanaunga mkono kuwa ipo na wanaunga mkono chanjo yake. Hahitajiki uwe na akili kuwa CCM
 
Back
Top Bottom