Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

Kati ya waliojitokeza leo kuandamana hakuna kiongozi wa kata, shina wala taifa aliejitokeza kuandamana. Nafikiri hata wale waliokamatwa sasa hivi wanajilaumu baada ya kugundua kuwa viongozi wakuu wa chama hicho kina Mnyika, Mwalimu na wengineo hawakufika maandamanoni. Hili liwe somo kwa nyumbu wengine kabla ya kuandamana wahakikishe viongozi wa chama nao wanashiriki.
 
Nakiona kifo Cha chadema kileee
NDUGU CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Tangu akina Mzee Wasira waanze kubwabwaja hivyo imeshafika miongo miwili na matokeo alikufa yeye kisiasa.
Yaliyompata mungu wa Burigi hatuna haja ya kuyarudia na inaoneka kuwa ni karibu yatampata Biushungi.
Sasa mbona nawe wajitafutia mauti HIVIHIVI?
 
Nakiona kifo Cha chadema kileee
Ataanza babu yako Chadema ipo, atafuata baba yako Chadema ipo, mwishowe utamalizika wewe Chadema itakuwepo, huu wimbo wako waliimba wengi sana kabla hujazaliwa leo wote hawapo Chadema bado ipo.
 
Kati ya waliojitokeza leo kuandamana hakuna kiongozi wa kata, shina wala taifa aliejitokeza kuandamana. Nafikiri hata wale waliokamatwa sasa hivi wanajilaumu baada ya kugundua kuwa viongozi wakuu wa chama hicho kina Mnyika, Mwalimu na wengineo hawakufika maandamanoni. Hili liwe somo kwa nyumbu wengine kabla ya kuandamana wahakikishe viongozi wa chama nao wanashiriki.
Mbowe atawashinda mabingwa wa njama za kubumba na kubambikizia kesi waTz.
Kelele nyingine ni za kujifariji tu, lakini leo ulimwengu umejionea jinsi Tanzania ya sasa inavyojitahidi sana kufanana kwa udhalimu/ukatili na SA ya utawala wa makaburu.
Uchawi wenu hautoweza kukwamisha, harakati za kupigania Katiba mpya iliyo bora zitaendelea ili kuwakomboa wote pamoja NANYI.
 
Umeongea sahihi sana
 
Tena wajitafakari na wabadili mwelekeo wao mbaya waliouchagua.
 
Akili za CCM ni za ajabu ndio maana hata akina Lemutuz mnawaita vijana kumbe wazee!

Unafikiri hapo kuna mwanachadema halisi?
 
Back
Top Bottom