Zanzibar 2020 Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

Kama wanaume kweli wangebandika mchana kweupe kama vichwa vyao na nyama watu wangevichemsha tukala supu.
Waambieni kama wanaume kweli wafike mchana.

Il wazee wa Nungwi wamesema hao waliobandika hizo picha wametoa siku saba wakaziondoe vinginevyo la kufanya wasije wakaombwa msamaha.
Mbona hiyo picha ya kwanza huyo jamaa anabandika mchana kweupe?

Hii mikwara yenu huwa ni ya kijinga sana,!

Alafu uthibitisho kwamba hili jengo ni la ACT uko wapi?
 
Picha tu haziwezi kuwa Rais wa Zanzibar...!!

Wazibandue na kuendelea na kazi zao bila kuumiza kichwa na akili juu yq mtalii huyo...

Huu ni mwaka wa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Rais wa Zanzibar..!!
Seif enzi zake zanzibar zilishapita
 
Iringa pia CCM wanafanya uhuni huu huu halafu tume inapiga mikwara kwa Chadema na ACTwazalendo tu.
 
Sasa kama hiyo picha ya huyo babu inatisha we unafikiri watafanyaje. Juzi nilikua na rafiki yangu mmoja wa ACT akawa ananiambia ndugu yangu we acha tu, kijana mzima kuwa na shobo na wazee haileti maana hivi ninavyokwambia nyumbani kwangu nimebandika picha ya Mgombea wa CCM huyu wa kwetu kila nikibandika mtoto wangu wa miaka mitano anaibandua anasema inamtisha.
 
Mwenyekiti kaonyesha njia kuleee kwa Tundu Lisu, sasa imbonerakuleee (UVCCM) wanafuata nyayo!
 
Tatizo ACT wanatumia mbinu zile zile za cdm. Hawajatafakari faida gani cdm wamezipata kwakujitengenezea matukio zaidi ya kuwahadaa nyumbu wachache!
 
Sasa kama hiyo picha ya huyo babu inatisha we unafikiri watafanyaje. Juzi nilikua na rafiki yangu mmoja wa ACT akawa ananiambia ndugu yangu we acha tu, kijana mzima kuwa na shobo na wazee haileti maana hivi ninavyokwambia nyumbani kwangu nimebandika picha ya Mgombea wa CCM huyu wa kwetu kila nikibandika mtoto wangu wa miaka mitano anaibandua anasema inamtisha.
Seif muda wake umepita. Zanzibar sasa hivi ina kizazi cha 70s baada ya uhuru. Hawa hawamwelewi kabisa Maalim
 
Seif muda wake umepita. Zanzibar sasa hivi ina kizazi cha 70s baada ya uhuru. Hawa hawamwelewi kabisa Maalim
Na ndio maana vijana wote wameamua kumsapoti kijana mwenzao balaa wamewaachia wale wanaondelea kumuona Maalim kama nabii wakati mwenyewe anajijua ni myayushaji.
 
CCM muda wao umeshakwisha ,wanalazimisha kaondoeni picha au tutasema kama mumemuuwa
 
Back
Top Bottom