Zanzibar 2020 Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

Kama wanaume kweli wangebandika mchana kweupe kama vichwa vyao na nyama watu wangevichemsha tukala supu.
Waambieni kama wanaume kweli wafike mchana.

Il wazee wa Nungwi wamesema hao waliobandika hizo picha wametoa siku saba wakaziondoe vinginevyo la kufanya wasije wakaombwa msamaha.
Hahahaaaaa
 
Hao ni ACT Wazalendo wenyewe. Hata CHADEMA walichoma ofisi yao usiku wakasingizia CCM. Waliofanya uhalifu huo Walipokamatwa wakakutwa ni CHADEMA. Viongozi wa CHADEMA wako kimya hadi leo.
 
Back
Top Bottom