Vijana wa CCM msibweteke na madaraka, kuna maisha baada ya siasa. Jifunzeni kwa Nape Nnauye

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,591
141,395
Nikiwaangalia vijana wengi wa CCM simuoni wa kumfikia Nape katika hali ya kukijua, kukipenda na kuwa tayari kukifia chama.
Leo Nape yuko pembeni kabisa ya chama akitofautishwa na ukuta mwembamba sana kufika aliko Lowassa.
Wakati fulani iliaminika Nape na Nchimbi ndio UVCCM leo wote ni kama wagemi ndani ya CCM.

Leo nimejisikia kuwapa angalizo tu vijana wa CCM kwamba kuna maisha baada ya siasa so msijisahau sana.

Wanasiasa watapita lakini CCM itaendelea kuwepo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hasa viongozi wa Uvisisim yaan unakuta kijamaa kiñatembea kama kina JIPU kwapani mkono unawekwa "ABNORMAL WIDE ROAD" halaf kanadandia "HATA MAJI TU JAMAA YANGU" kuna ki1 huwa nakutana nacho Cafe fulan daa!! Kinabooooooaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom