Vijana wa (CCM)Lumumba msaada wa haraka tafadhali

General Stalin

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
652
499
Naomba mniwekee audio ya wimbo ulioimbwa na ( wasanii wa magufuli ) unaoitwa " nchi yangu Tanzania" ....inaishi ndani yangu Tanzania......

Wimbo huo pia TRA wameutumia katika tangazo lao la "kulipa kodi ni uzalendo"

Huu ni wimbo wa kizalendo sana natumaini hapo ofisi za ccm Lumumba upo na kule serikalini hivyo mnitumie audio yake (clear) kabisa ile studio.
 
Ungeomba wa kuisoma # ungepewa faster. Ila huo wa uzalendo na sisiem wapi na wapi ndugu hata hao vijina unaowaomba hawaujui
 
Back
Top Bottom