Vijana wa (CCM)Lumumba msaada wa haraka tafadhali


G

General Stalin

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
581
Likes
418
Points
80
G

General Stalin

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
581 418 80
Naomba mniwekee audio ya wimbo ulioimbwa na ( wasanii wa magufuli ) unaoitwa " nchi yangu Tanzania" ....inaishi ndani yangu Tanzania......

Wimbo huo pia TRA wameutumia katika tangazo lao la "kulipa kodi ni uzalendo"

Huu ni wimbo wa kizalendo sana natumaini hapo ofisi za ccm Lumumba upo na kule serikalini hivyo mnitumie audio yake (clear) kabisa ile studio.
 
sunday jr

sunday jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Messages
366
Likes
332
Points
80
sunday jr

sunday jr

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2016
366 332 80
zimetoka lini hizo mkuu maana Mm kira station ninayo weka naskia, maisha na muziki ,...sijui nin na nin... funga mkanda kaza na kamba.....
 
G

General Stalin

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
581
Likes
418
Points
80
G

General Stalin

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
581 418 80
Bora niwe mzalendo tu kwa magufuli
 
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
3,340
Likes
487
Points
180
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
3,340 487 180
Wakija utasikia vichambo na ngojera tu
 
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Messages
1,006
Likes
1,310
Points
280
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2012
1,006 1,310 280
Ungeomba wa kuisoma # ungepewa faster. Ila huo wa uzalendo na sisiem wapi na wapi ndugu hata hao vijina unaowaomba hawaujui
 

Forum statistics

Threads 1,274,695
Members 490,787
Posts 30,521,528