Vijana wa CCM amkeni kulitetea taifa, acheni kusoma upepo. Hiyo tabia aliikemea mwalimu!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Napenda niwashauri tu vijana wenzangu wa chama cha mapinduzi CCM, chama chenu kimepewa dhamana kubwa sana na wananchi. Onesheni utofauti wenu na vyama viingine msikalie kimya mambo makubwa ya kitaifa kwa kuusoma upepo, hizi ni akili za watu wa kuswagwa utafikiri hawajitambui.Msilifanye kila jambo kua ni lakutaftia umaarufu wa kisiasa,wenzenu wa upinzani wanakesha hawalali kutafuta vyanzo vya taarifa mbali mbali na kuzitengenezea hojalakini ninyi mnalala udingizi mnasubiri kupinga hizo hoja kwa kutukana na kukejeli. Hili litawagharimu sana wakati ni mwalimu mzuri sana.

Sio uzalendo hata kidogo pale linapotokea jambo ambalo linalitikisa taifa letu mnakalia kimya mnasubiri kusoma upepo ndio mseme, haya ni mawazo ya ajabu kabisa na hamtalisaidia taifa. Ni bora mu ushinde na njaa kwa kusema ukweli maana kweli hiyo hiyo itakushibisha kesho. Vijana wa CCM mmekosa uzalendo jaribuni kufikiria kua taifa lijao ni lenu ikiwa mtasimama imara.Mwl Nyerere mpaka anakabidhi kijiti cha kuisimamia TANU hakua na tabia hii, haua mtu wa kuogopa ogopa kama ninyi.Hakua mtu wa kupelekwa na upepo na ndio maana kwenye CCM hii ya leo hakuna kijana wa kufanana nae.

Nataka niamini kwamba hata teuzi nyingi zinazofanywa na Mh Rais ni kwa maprofesa wa PhDs na vijana kutoka upinzani sio kwamba hawaoni vijana wa CCM, kuna siku mh Rais aliwahi kusema amepelekewa majina kutoka UVCCM kwa ajili ya teuzi mbali mbali lakini hakuona kabisa wenye sifa.Mkae na kujiuliza ni sifa zipi Mh Rais anataka? Ameshawasoma mlivyo, sura zenu hazijakaa kulisaidia taifa.Anaaminu niyi sura zenu hazioneshi kumpa msaada wa kulijenga taiga.

Leo hii hata ukifukuzwa ndani ya chama hako kwa kusimama katika ukweli taifa litakutambua tuu, nyota yako haitokaa kuzimika ispokua ni rahisia sana kuzimwa na tabia kama hizi.

Amkeni teteeni mambo yenye maslahi ya umma, msiwe vigeu vigeu kama PETRO ambaye aliusoma upepo akaona ni bora adanganye kwa kumkana YESU kukwepa mijeledi ya wayahudi.

Ushauri wangu ni huo kwenu, mpokee au msipokee chamsingi ujumbe umewafikia, acheni kua na udhaifu kubwa kiasi hiki maana hauna tija kwa taifa wala chama chenu.
 
Vijana wa CCM wana akili na wanajua wapi waseme na wapi wasiseme.
Kazi ya polisi ni ya polisi na siasa ni siasa.
Mbona Bavicha hamkuamka katika tuhuma dhidi ya mwenyekiti wenu kuhusu ngada?
 
vijana wa ccm kama wazee wao kwa chama kwanza nchi baadae. lakini nawaambia siku zote hakuna kundi lolote lililo kuu kuliko nchi yetu pendwa Tanganyika vyote vitapita ila nchi itabaki. nawaomba vijana wenzetu tuwaombe muwe wazalendo.
 
Ukweli mtupu kabisa umeongea hila kuna shida sehemu sema atuwezi kusema hapa ntaliongelea kwenye vikao
 
Napenda niwashauri tu vijana wenzangu wa chama cha mapinduzi CCM, chama chenu kimepewa dhamana kubwa sana na wananchi. Onesheni utofauti wenu na vyama viingine msikalie kimya mambo makubwa ya kitaifa kwa kuusoma upepo, hizi ni akili za watu wa kuswagwa utafikiri hawajitambui.Msilifanye kila jambo kua ni lakutaftia umaarufu wa kisiasa,wenzenu wa upinzani wanakesha hawalali kutafuta vyanzo vya taarifa mbali mbali na kuzitengenezea hojalakini ninyi mnalala udingizi mnasubiri kupinga hizo hoja kwa kutukana na kukejeli. Hili litawagharimu sana wakati ni mwalimu mzuri sana.

Sio uzalendo hata kidogo pale linapotokea jambo ambalo linalitikisa taifa letu mnakalia kimya mnasubiri kusoma upepo ndio mseme, haya ni mawazo ya ajabu kabisa na hamtalisaidia taifa. Ni bora mu ushinde na njaa kwa kusema ukweli maana kweli hiyo hiyo itakushibisha kesho. Vijana wa CCM mmekosa uzalendo jaribuni kufikiria kua taifa lijao ni lenu ikiwa mtasimama imara.Mwl Nyerere mpaka anakabidhi kijiti cha kuisimamia TANU hakua na tabia hii, haua mtu wa kuogopa ogopa kama ninyi.Hakua mtu wa kupelekwa na upepo na ndio maana kwenye CCM hii ya leo hakuna kijana wa kufanana nae.

Nataka niamini kwamba hata teuzi nyingi zinazofanywa na Mh Rais ni kwa maprofesa wa PhDs na vijana kutoka upinzani sio kwamba hawaoni vijana wa CCM, kuna siku mh Rais aliwahi kusema amepelekewa majina kutoka UVCCM kwa ajili ya teuzi mbali mbali lakini hakuona kabisa wenye sifa.Mkae na kujiuliza ni sifa zipi Mh Rais anataka? Ameshawasoma mlivyo, sura zenu hazijakaa kulisaidia taifa.Anaaminu niyi sura zenu hazioneshi kumpa msaada wa kulijenga taiga.

Leo hii hata ukifukuzwa ndani ya chama hako kwa kusimama katika ukweli taifa litakutambua tuu, nyota yako haitokaa kuzimika ispokua ni rahisia sana kuzimwa na tabia kama hizi.

Amkeni teteeni mambo yenye maslahi ya umma, msiwe vigeu vigeu kama PETRO ambaye aliusoma upepo akaona ni bora adanganye kwa kumkana YESU kukwepa mijeledi ya wayahudi.

Ushauri wangu ni huo kwenu, mpokee au msipokee chamsingi ujumbe umewafikia, acheni kua na udhaifu kubwa kiasi hiki maana hauna tija kwa taifa wala chama chenu.
Samahani ni mambo gani ya msingi hawajatetea?
 
Hawa akili wamemkabidhi Mwenyekiti wao sasa hicho unachowashauri hakiwezekani kabisa na sio sera yao katika awamu ya 5.
Makubaliano yao ni kuitikia kila kitu na kupinga chochote kila kinachozungumzwa na upinzani hata kama ni kweli.
 
undefinedkada wa chama ametekwa,vijana wa ccm wakamtelekeza na kuanza kumponda juu....undefinedHawana msimamo zaidi ya kujali matumbo,nani awateuwe sasa?
Ukisoma mawazo ya wote waliochangia kutoka ccm,mawazo yao wote ni kama walikuwa eneo moja au chumba kimoja
 
Napenda niwashauri tu vijana wenzangu wa chama cha mapinduzi CCM, chama chenu kimepewa dhamana kubwa sana na wananchi. Onesheni utofauti wenu na vyama viingine msikalie kimya mambo makubwa ya kitaifa kwa kuusoma upepo, hizi ni akili za watu wa kuswagwa utafikiri hawajitambui.Msilifanye kila jambo kua ni lakutaftia umaarufu wa kisiasa,wenzenu wa upinzani wanakesha hawalali kutafuta vyanzo vya taarifa mbali mbali na kuzitengenezea hojalakini ninyi mnalala udingizi mnasubiri kupinga hizo hoja kwa kutukana na kukejeli. Hili litawagharimu sana wakati ni mwalimu mzuri sana.

Sio uzalendo hata kidogo pale linapotokea jambo ambalo linalitikisa taifa letu mnakalia kimya mnasubiri kusoma upepo ndio mseme, haya ni mawazo ya ajabu kabisa na hamtalisaidia taifa. Ni bora mu ushinde na njaa kwa kusema ukweli maana kweli hiyo hiyo itakushibisha kesho. Vijana wa CCM mmekosa uzalendo jaribuni kufikiria kua taifa lijao ni lenu ikiwa mtasimama imara.Mwl Nyerere mpaka anakabidhi kijiti cha kuisimamia TANU hakua na tabia hii, haua mtu wa kuogopa ogopa kama ninyi.Hakua mtu wa kupelekwa na upepo na ndio maana kwenye CCM hii ya leo hakuna kijana wa kufanana nae.

Nataka niamini kwamba hata teuzi nyingi zinazofanywa na Mh Rais ni kwa maprofesa wa PhDs na vijana kutoka upinzani sio kwamba hawaoni vijana wa CCM, kuna siku mh Rais aliwahi kusema amepelekewa majina kutoka UVCCM kwa ajili ya teuzi mbali mbali lakini hakuona kabisa wenye sifa.Mkae na kujiuliza ni sifa zipi Mh Rais anataka? Ameshawasoma mlivyo, sura zenu hazijakaa kulisaidia taifa.Anaaminu niyi sura zenu hazioneshi kumpa msaada wa kulijenga taiga.

Leo hii hata ukifukuzwa ndani ya chama hako kwa kusimama katika ukweli taifa litakutambua tuu, nyota yako haitokaa kuzimika ispokua ni rahisia sana kuzimwa na tabia kama hizi.

Amkeni teteeni mambo yenye maslahi ya umma, msiwe vigeu vigeu kama PETRO ambaye aliusoma upepo akaona ni bora adanganye kwa kumkana YESU kukwepa mijeledi ya wayahudi.

Ushauri wangu ni huo kwenu, mpokee au msipokee chamsingi ujumbe umewafikia, acheni kua na udhaifu kubwa kiasi hiki maana hauna tija kwa taifa wala chama chenu.
Kama hilo ni muhimu. Mbona nawe ni mwenzao si uanze tu wewe ili nao wafuate nyayo.
 
Wakisimamia ukweli wataambiwa wanatumika nadhani unajua mwisho wake ngoja niishie apa
 
Usiwafanye hawa vijana %100 ni nyumbu, hizo hizo common sense walizo nazo, wengine wanasema za kutanua kope, kwenda toilet zinaweza kuwafanye wajue hawawezi kupingana na ukweli.
 
Back
Top Bottom