Vijana wa bodaboda tuache mchezo na usalama wa Rais

Kwenye Utawala Wangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi
Ngojeni Atakayewabembeleza Ninyi
By Mzilankende
 
Wakosefu wa adabu kama hao wakinyooshwa serikali inaonekana ina roho mbaya
Kuna mtu nlikuwa namjua,alikuwa na tabia ya kuungia msafara
Ila siku yake ilifika alipataga msala ulimpelekesha,mpk leo hii akiuona msafara
Hata kusogelea hataki

Ova
 
Sio hao tu wasio tii arama za barabara kuna hii migari ya mchanga ebwana hao wanakimbiza hovyo migari yao pia sijui trafik hua hawawaoni.
 
Taifa hili lishajichokea siku mingi pamoja na watu wake . Na hii imetokana na kukumbatia siasa za kikomunisti
 
Hoja nzuri.

Mimi sio bodaboda Ila ninamiliki pikipiki. Njia pekee ambayo polisi atanisimamisha ni kuniwahi achomoe ufunguo na hata akiuchomoa natembea na spea nawasha nasepa. Polisi waonevu sana siwezi simama kisa kanipiga mkono.
 
Majaliwa alipokuwa babati anahutubia kuna mlevi mmoja akipata uwanjani na akiwa na mbwa wake kama 7,akaanza kupiga kelele ,"we unalindwa na polisi Ila mi nalindwa na mbwa wangu wako madhubuti" jamaa alibebwa mzobemzobe Sijui anaendeleaje
 
watu wa kaskazini mwa nchi ni vichwa maji kabisa.
 
Majaliwa alipokuwa babati anahutubia kuna mlevi mmoja akipata uwanjani na akiwa na mbwa wake kama 7,akaanza kupiga kelele ,"we unalindwa na polisi Ila mi nalindwa na mbwa wangu wako madhubuti" jamaa alibebwa mzobemzobe Sijui anaendeleaje
Kwa aina ya Polisi tulionao ukipata habari yoyote kuhusu kilichomkuta we pokea tu.
 
RSO wa dar anapaswa kuwajibika, wasiojulikana aka raia wema walipaswa wadeal nae mapema tu
Hiyo ni Arusha siyo dar.ila bodaboda waache mzaha maanawakiingia kwenye 18 za ile inner circle ya msafara -E1 kitakachowapata.
 
Katika kundi ambalo ningewasihi kuwa nao makini ni hawa Bodaboda, kamwe msiwalinganishe na Wamachinga mnaowazungusha kama vishada.

Siku kadhaa zilizopita tulihitaji kuondoa jengo moja chakavu ili kufanya ujenzi upya...baada ya kupatana na 'Injinia' ...siku iliyofuata mapema asubuhi kufika saiti tunakutana na bodaboda kama nane hivi nje ya geti, kabla ya kufungua geti tunapokelewa na sauti za vishindo kumaanisha kuwa zoezi linaendelea.

Tumeingia huku tunashangaa "Injinia" akatuambia si mmesema mnataka ngoma iwe flati leo leo?....tukamjibu "ndio ila mbona umekusanya Bodaboda?"...akasema "hawa ndio Wataalamu wa hizi kazi..hiyo Bodaboda wanafanya kama ziada tu".

Sasa ukiangalia hizo njemba na minyundo waliyoshika unaweza kupata picha halisi ni kundi la aina gani nje ya Bodaboda.

Hapohapo nikaanza kutafakari maana kwa muonekano walikuwa na sifa zote za ile Jamii inayoweza kukutembelea nyumbani usiku ili mgawane ulichonacho.
 
Bodaboda wengi siyo tu hawana elimu ya vyombo vya moto na usalama barabarani lakini pia elimu ya uraia imewapita kando
 
Back
Top Bottom