Vijana wa BAVICHA karibuni kwa majadiliano ya kimaendeleo katika jukwaa hili

M

mbugabire

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2012
Messages
247
Likes
4
Points
35
M

mbugabire

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2012
247 4 35
Napenda kuwakaribisha katika mada hii ambapo kama itaonekana ina manufaa kwa chama chetu pendwa CHADEMA viongozi wajuu wanaweza kufanyia kazi.
Kwasasa katika siasa za Tanzania chama chetu kimeteka fikra za watu wengi katika kila pembe ya nchi na hii ni fursa yakipekee kwa chama,ni wakati wa chama kufanya mambo makubwa ambayo watanzania hawakutegemea kutokea katika siasa,na mambo hayo sio mengine bali ni yakimaendeleo katika ngome zetu kuu.
Kwanza wanataka mabadiliko na kwa mtazamo wangu wa mbali nimeona CHADEMA ikiwa inategemea kushika dola kwa wakati huu ipo turufu moja ya ushindi wa mwaka 2015 inayobeba sura ya maendeleo thabiti na ya haraka.
Kwanza umoja wa wanachama wetu katika nchi ni alama ya mafanikio katika maendeleo,kwa namna chama kinavyopendwa tunaweza kufanya maendeleo katika kupitia mapenzi hayo.
Tunajua wapo wanachama wenye uwezo mkubwa(high class),uwezo wa kati(middle class) na uwezo wa chini(lower class) na wote wanaweza kuchangia maendeleo kila mmoja kwa nafasi yake,wapo watakao jitolea kwa mali,wengine kwa vipawa na ujuzi,na wengine kwa mawazo.
Sasa lengo la maelezo yote hayo ni kwamba tunataka tuwe tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani ambavyo vimewahi kuwa maarufu huko kabla lakini hawakufanya maendeleo yoyote.
KATIKA SEKTA YA AFYA:
CHADEMA mnaweza kujenga hospitali ya kisasa kila mkoa bila kutumia gharama yoyote,kwavile hamkusanyi kodi wananchi wapo tayari kutoa michango hadi ujenzi wa hospitali unakamilika katika mkoa husika.Wapo wenye ujuzi wakujenga watajitolea,wapo wenye hardwares watatoa vifaa vyao kuwezesha ujenzi,wapo wakandalasi watajitolea kwa ujuzi wao.Mtaongezea mengine.
KATIKA SEKTA YA ELIMU:
Uwezo wa chama kujenga shule kila mkoa upo,kama kwenye swala la hospitali na hili pia linawezekana kabisa.

NB:Hii ni turufu yakuelekea 2015,tutaonyesha kwamba umoja wetu unaweza kuleta maendeleo nchini.Naamini wapo wengi watajiunga nasi katika hili kwani dhana ya chama cha vurugu na mengine itapotea.Wananchi watajua kwamba kufanya au kuleta maendeleo si jambo gumu kama tulivyoaminishwa na serikali ya CCM.
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,927
Likes
8,879
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,927 8,879 280
Una mawazo mazuri lakini kwa mfano CCM wanaeneza Udini na ukabila kwa kuituhumu CDM na ikitokea CDM wakaanza kuchagua viongozi kwa kuangalia Dini na kabila la mtu ili kuondoa dhana inayojengwa na CCM ambayo haina ukweli basi hapo ndio CDM watakuwa wanatekeleza huo Udini na ukabila.
CDM wakianza kuogopa kufanya maandamano kwa kuogopa kuonekana chama cha vurugu basi lengo la CCM litatimia.
Hivyo basi hatupaswi kufanya vitu fulani ili kushindana na uongo unaonezwa bali tufanye vitu sahihi kwa wakati sahihi.
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Umeanza vizuri cha ajabu umemaliza vibaya. Ina maana yaani mpaka wewe umebeba dhana ya chadema ni chama cha VURUGU? Ref. What u post!
 
kwanini watz' yaani mpaka leo tunachekelea ujinga huo wa Ukabila, Udini etc,.? Ifikie mahali tuseme yatosha yeyote atakayepotosha umma kisa udini, ukabila ASHUGULIKIWE sawa sawa kama washughulikiwavyo WEZI.
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
647
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 647 280
Una mawazo mazuri lakini kwa mfano CCM wanaeneza Udini na ukabila kwa kuituhumu CDM na ikitokea CDM wakaanza kuchagua viongozi kwa kuangalia Dini na kabila la mtu ili kuondoa dhana inayojengwa na CCM ambayo haina ukweli basi hapo ndio CDM watakuwa wanatekeleza huo Udini na ukabila.
CDM wakianza kuogopa kufanya maandamano kwa kuogopa kuonekana chama cha vurugu basi lengo la CCM litatimia.
Hivyo basi hatupaswi kufanya vitu fulani ili kushindana na uongo unaonezwa bali tufanye vitu sahihi kwa wakati sahihi.
Nadhani kuna haja ukatumia siku ya kesho kwenda pale ubungo kila mtu anayepita umuwekee mikono kichwani.
itasaidia sana.
 
M

mbugabire

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2012
Messages
247
Likes
4
Points
35
M

mbugabire

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2012
247 4 35
Umeanza vizuri cha ajabu umemaliza vibaya. Ina maana yaani mpaka wewe umebeba dhana ya chadema ni chama cha VURUGU? Ref. What u post!
samahani kama nimemaliza vibaya,ila dhana ya vurugu ni uzushi wa CCM ambapo kiukweli imetuathiri kwa upande wa wanawake,tunapenda haki ila kama ni lazima tuipata kupitia nguvu basi hatuna budi,umenielewa vibaya mkuu
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
647
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 647 280
samahani kama nimemaliza vibaya,ila dhana ya vurugu ni uzushi wa CCM ambapo kiukweli imetuathiri kwa upande wa wanawake,tunapenda haki ila kama ni lazima tuipata kupitia nguvu basi hatuna budi,umenielewa vibaya mkuu
Hata hayo mazuri uliyoeleza nayo yanamatatizo makubwa ya utekelezaji, unaweza ukanipa successful case study ya hiyo project?
 
Forum statistics

Threads 1,252,206
Members 482,043
Posts 29,800,473